Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia


Ndugu yangu pole sana kwa uamuzi mbaya ulioufanya wa kumwacha kristo. Anyway, tumaini lingalipo kama utaamua upya kumpokea Yesu Christo awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako.
 

Mkuu naomba uweke nyama kidogo katika maelezo yako KWANI unachokieleza hapa kinaweza kuwasaidia watu wengi hasa wale wasioamini uwepo wa Mungu kama akina Mshana Jr .
Ahsante
 
Halafu anaibuka chawa mmoja Leo eti Nyomi ya Buldozer ni rekodi haijawahi kufikiwa Na muhubiri yoyote nchini Tz
 
Nilipenda usemi wake huu, if you ask God to forgive your sins also do not remember your sins any more because God forgives your sins for all
 
Nimemuona zaidi ya mara nne na yote ni moshi..hawa walikua wahubiri wa kweli kabisa...namkumbuka na Emanuel Eni pia!
 
Yeye hatumii chumvi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…