Mfahamu Silvie Kinigi, Waziri Mkuu na acting president wa kwanza mwanamke Afrika Mashariki

WilsonKaisary

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
392
Reaction score
949


Sylvia Kinigi ndie mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu nchini Burundi na kwa Afrika Mashariki. Na 1993-1994 akapata kuwa acting president wa Jamhuri ya Burundi.

Mama Samia Suluhu Hassan, anapata kuwa Rais wa pili mwanamke Afrika Mashariki.

Wanawake wote Hawa wawili sio kuwa walipigiwa kura za kiti Cha Urais. Sylvie Kinigi aliombwa na Bunge, baada ya Rais wao kupoteza maisha 1993 tokana na mapinduzi.

Mama Samia Suluhu Hassan, kawa raisi kwa mujibu wa Sheria za katiba ya Tanzania kupitia ibara ya 37.

 
Warundi mmeanza kutimua mende kabatini...
 
Umefanya vizuri mkuu kutoa taarifa ili kuweka kumbukumbu sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…