Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Hata hivyo hawa ma TO, kwa uelewa wangu mdogo asipopata usimamizi mzuri kwa maana ya kumuelekeza au kumuongoza nini afanye wapi na kwa wakati gani mara nyingi huwa wanapata shida sana kutoka maana wanakuwa wanajiamini kupita kiasi.

Kwahiyo hali kama hiyo inawafanya kupuuza au kuchukulia poa kila kitu kinachomhusu na mwisho wa siku ndiyo hivyo wanaishia kusiko julikana au kupata majanga tu katika mlolongo wa elimu,maisha au hata katika utafutaji wao!

Jamaa hakumaliza labda amemaliza mwaka huu, engineermate mwenzangu even though professional tofaut ila tulianza nae 2013 but 2017 alisitisha masomo, so automatically hakumaliza bachelor yake, Kihombo talented man without vision......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa jamaa....kuna jamaa nimesoma nae gineus akawa doctor. . ila aliacha udoctor akawa mchora vibonzo kazi aliyoipenda
Sent using Jamii Forums mobile app
 
NIMO PRDCTZR,
Life skills ni kitu ingine

Inaitwa elimu mtaani... Ukichanganya na talanta mambo yanakua Safi sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanarekebisha chand..daaah kuna watu walikua vichwa halafu wala walikua hawatumii nguvu nyingi kusoma na walikua wanafaulu kama kawa.

#MaendeleoHayanaChama.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanarekebisha chand..daaah kuna watu walikua vichwa halafu wala walikua hawatumii nguvu nyingi kusoma na walikua wanafaulu kama kawa.

#MaendeleoHayanaChama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndo hapo. We unakomaa uelewe na ikishindikana umeze njia iliyoandikwa kwenye Chand wakati huo wenzako wanaikosoa. Dunia haina usawa.
 
Kwenye hao MAT.O wote mnaowajadili kwa nini wasiungane angalau kufanya project ya kutengeneza ventilator kama wenzao wa Kenya na Rwanda au mnaonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…