mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
Humu nahisi atakuwepo Elias Kihombo njoo humu utupe maelezo yaliyoshiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa fresh tu, dogo erick yupo gud
Mimi nilifikiri jamaa kapata degree akiwa na umri wa miaka 11!Yani mtu aliyepata bachelor degree baada ya miaka 11 ndo unamsifia hivi!!?
Nlivoanza kusoma uzi nlifikiri ntakutana na mtaalamu aliyevumbua kitu fulani kumbe ni mwalimu wa tuition.
T.O namba moja wa kumpinga Mungu mambo?[emoji53][emoji53]Kiburi kinamfanya mwerevu kuwa mjinga.
Mtu anayesema Pure Math ni rahisi ama ni muongo ama hajaielewa, pengine kwa kuisoma kwa level ndogo sana.Unasema Elias alikuwa hapendi kufundisha hesabu sababu ni somo rahisi sana duniani.
Sasa ilikuwaje O-level alipata B?
Eti alifelishwa na waalimu wake kwenye Telecom? Ina maana miaka hiyo aliyosoma hakuna ku-appeal matokeo wala hakuna external examiner, wala hakuna watu wa Quality Assuarance?
Acheni shombo za kitoto. Huyo alifeli sabbu ya dharau zake za kijinga na wala sio kwamba kichwa kigumu.
Hizo hesabu alizosema rahisi ndio zilimfanya awe discontinued Bachelor ya Telecom Eng.
Kweli kabisa.Mtu anayesema Pure Math ni rahisi ama ni muongo ama hajaielewa, pengine kwa kuisoma kwa level ndogo sana.
Hizo Physics na Chemistry kimsingi ni derivatives za Pure Maths.
Unaweza kusoma Pure Maths bila Chemistry wala Physics. Lakini ukisoma Chemistry na Physics utakutana na concepts za maths. Huwezi kusoma bila maths.
Ukisoma historia za ma genius wa kweli kama kina Srinivasan Ramanujan (kama hujamjua tafuta movie au kitabu "The Man Who Knew Infinity", the book is better than the movie, the movie is good too) utaona mtu ni genius wa kweli mpaka inabidi tujiulize alikuwa na ubongo wa aina gani, lakini yuko very humble.
Srinivasa Ramanujan - Wikipedia
Huyu ni kishoka! Kipofu anayejaribu kumwongoza kipofu mwenzake! Kupata division 1 ya pointi 3 hakumfanyi mtu kuwa mwalimu mzuri.Engineer anafundisha??..... hii kweli tz ya vi-wonder.....poor utilization of scare resources
Mambo ya hovyo sana haya mkuuMimi nilifikiri jamaa kapata degree akiwa na umri wa miaka 11!
Maana anavyosifiwa, haiyumkiniki achukue miaka 11 kupata shahada.