Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Nilimuona kihombo mwaka 2014 nikiwa mwaka wa NNE pale COET. Nilimfahamu kabla hasa baada ya sifa zake kuvuma sana mwaka 2006. Nijuavyo Mimi, kihombo ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kukariri na kufundisha tu. Si innovative kabisa
 
Mtu anayesema Pure Math ni rahisi ama ni muongo ama hajaielewa, pengine kwa kuisoma kwa level ndogo sana.

Hizo Physics na Chemistry kimsingi ni derivatives za Pure Maths.

Unaweza kusoma Pure Maths bila Chemistry wala Physics. Lakini ukisoma Chemistry na Physics utakutana na concepts za maths. Huwezi kusoma bila maths.

Ukisoma historia za ma genius wa kweli kama kina Srinivasan Ramanujan (kama hujamjua tafuta movie au kitabu "The Man Who Knew Infinity", the book is better than the movie, the movie is good too) utaona mtu ni genius wa kweli mpaka inabidi tujiulize alikuwa na ubongo wa aina gani, lakini yuko very humble.

Srinivasa Ramanujan - Wikipedia
Chemistry kuna hesabu gani..intergration,differentiation!!
 
Huwezi kufanya Quantitative analysis bila hesabu.

Huwezi ku balance a chemical equation bila hesabu.

Avogadros constant huwezi kuitumia bila hesabu.

Huwezi kuelewa chemistry vizuri bila kuelewa molecular structures models za geometry. Kufanya chemical graph theory, isomerism, topology.

Unapochanganya chemical substances kwa ratio unatumia hesabu.

Unapopima uzito katika experiment unatumia hesabu.

Angalia zaidi hapa, kuna mpaka ma journal ya mathematical chemistry

Mathematical chemistry - Wikipedia

Umeongea integration and differentiation from Calculus

https://www.tandfonline.com/doi/abs/10.1080/10511970601131571?journalCode=upri20

See The Light! A Nice Application of Calculus to Chemistry
Stuart Boersma &Garrett McGowan
Pages 125-130 | Published online: 27 Sep 2010

Abstract
Some simple modeling with Riemann sums can be used to develop Beer's Law, which describes the relationship between the absorbance of light and the concentration of the solution which the light is penetrating. A further application of the usefulness of Beer's Law in creating calibration curves is also presented.
 
Hizo ni basics tu za hesabu..huwezi kusema kubalance equation kunahitaji hesabu ya kiwango cha juu..labda kwenye physics kidogo..by the way jamaa kwa upande wangu naona alikuwa sahihi kusema kuwa mathematics ni somo rahisi kushinda physics na chemistry
 
Duuh hizi zote umetoa kichwani au umeCopy na kuPaste
 
Hizo ni basics tu za hesabu..huwezi kusema kubalance equation kunahitaji hesabu ya kiwango cha juu..labda kwenye physics kidogo..by the way jamaa kwa upande wangu naona alikuwa sahihi kusema kuwa mathematics ni somo rahisi kushinda physics na chemistry
Sijasema hesabu ya kiwango cha juu.

Nimesema hesabu.

Sasa kwa nini unatumia qualifier ambayo mimi sijaiweka?

Halafu hesabu ya kiwango cha juu inaanzia wapi? Na kwa nini ianzie hapo na si pengine? Ya kiwango cha juu kwa nani?

Mathematics ni somo rahisi kwa kigezo gani? Toa sababu tujadili.

Unaweza kusema mathematics ni somo rahisi kwa sababu unaweza kuhesabu moja mpaka mia vile vile.

The more abstract something is, the harder it is to pin it down. Mathematics is the most abstract of the sciences. Therefore, it is the hardest.
 
Last edited:
Hivi wewe unaakili kichwani yani mtu afaulu miaka yote 3 akifeli semester moja ya mwaka WA 4 ndo anafutiwa matokeo yote Hivi Kuna ujinga kama huo Dunia ipi kwanini wasimwambie arudie mwaka au afanye transfer. Elimu ya Tanzania ni upumbavu mtu. Hivi kufeli semester moja kunafutaje matokeo ya semester za zamani ulizofaulu
Sina akili nina ufahamu. Mwenye akili ni huyo aliyepata 1.3 halafu anashindwa kupata angalau karai kwa kila kozi chuo.
 
Sijasema hesabu ya kiwango cha juu.

Nimesema hesabu.

Sasa kwa nini unatumia qualifier ambayo mimi sijaiweka?

Halafu hesabu ya kiwango cha juu inaanzia wapi? Na kwa niniianzie hapo na si pengine? Ya kiwango cha juu kwa nani?

Mathematics ni somo rahisi kwa kihezo gani? Tia sababu tujadili.

Unaweza kusema mathematics ni somo rahisi kwa sababu unaweza kuhesabu moja mpaka mia vile vile.

The more abstract something is, the harder it is to pin it down. Mathematics is the most abstract of the sciences. Therefore, it is the hardest.
Nimefatilia hii thread nikaona kuna watu wanasema hesabu rahisi, sasa huyo jamaa ukute hajawahi hata build a mathematical model ya physical system yeyote ile kisa kasoma integration A level na kapiga banda. Hajawahi build math model ya suspension system ya gari, engine combustion for simulation and design purposes.

Anyway niwaache tu na TO wa degree 11 years.
 
Mtu anasema hesabu rahisi halafu hata Millennium Problems hazijui.
 
Nimefatilia hii thread nikaona kuna watu wanasema hesabu rahisi, sasa huyo jamaa ukute hajawahi hata build a mathematical model ya physical system yeyote ile kisa kasoma integration A level na kapiga banda. Hajawahi build math model ya suspension system ya gari, engine combustion for simulation and design purposes.

Anyway niwaache tu na TO wa degree 11 years.
Kwa wachache Hesabu ni rahisi lakini kwa walio wengi Hesabu ni Janga sio mchezo kabsa kabsa.[emoji22] [emoji22]
 
Kila mtu ana passion fulani ndani yake. So kama passion yako ww ni kupata pesa nuingi, mwingine passion yake ni kufundisha, mwingine kuvumbua.. na n.k

Nilivyo muelewa mtoa post ni kwamba jamaa ni genius but aliamua kufuata passion yake regardless alichokisomea. Most of genius huwa wanaona regular job ni boring so huwa wanafuata passion zao.
Umetumia kigezo gani kumpa huyo jamaa ugenius?
Kusolve maswali ya necta ndio u genius?
 
Back
Top Bottom