kabila01
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 4,235
- 4,964
Japo anadharau jamaa yupo vizuri ata ukicheki vitini vyake anajua ila apunguze tu dharau
Dah haya maisha Mungu tu anajua. Yaani jamaa na degree yake ya Petroleum anauza vitini wakati kuna washkaji nawafahamu wana vidiploma vya DIT wanapiga pesa ndefu kwenye makampuni ya PUMA Oryx nk. Full mikoko ya kutembelea mishahara ya hatari. Mungu ambariki aendelee kutengeneza vitini ndo wito wake alioitiwa na mwenyezi Mungu