Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Sir God kashindwa ku solve dawa ya UKIMWI tu hana nyimbo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmecheka sana ila we jamaaa hahaaha dah ila bora tuamin yupo mkuu siku asije akaja tukajilaum .. Tuamin tu mkuu au unasemaje
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmecheka sana ila we jamaaa hahaaha dah ila bora tuamin yupo mkuu siku asije akaja tukajilaum .. Tuamin tu mkuu au unasemaje
I am cut from a different cloth
I start from a different close
 
Dah haya maisha Mungu tu anajua. Yaani jamaa na degree yake ya Petroleum anauza vitini wakati kuna washkaji nawafahamu wana vidiploma vya DIT wanapiga pesa ndefu kwenye makampuni ya PUMA Oryx nk. Full mikoko ya kutembelea mishahara ya hatari. Mungu ambariki aendelee kutengeneza vitini ndo wito wake alioitiwa na mwenyezi Mungu
Sio vitini ni vitabu mkuu na ni viZuri mno
 
History ya ELIAS KIHOMBO inataka kufanana na ya WILLIUM JAMES SIDIS
 
Huyu jamaa akiwa UDSM hakuwahi kuvuka mwaka wa tatu akisomea Telecom.. Alidisco na kati ya masomo aliyo feli ni Mathematics mwaka wa pili yaani MT261 na MT271.
 
Dah haya maisha Mungu tu anajua. Yaani jamaa na degree yake ya Petroleum anauza vitini wakati kuna washkaji nawafahamu wana vidiploma vya DIT wanapiga pesa ndefu kwenye makampuni ya PUMA Oryx nk. Full mikoko ya kutembelea mishahara ya hatari. Mungu ambariki aendelee kutengeneza vitini ndo wito wake alioitiwa na mwenyezi Mungu
Mi nawajua watu ambao hata kusoma hawajui na wanaendesha mikoko ya maana.. so what?? Watu mliofeli shule mna tabu sana
 
T.O namba moja wa kumpinga Mungu mambo?[emoji53][emoji53]
Dhana ya Mungu inajipinga yenyewe. Mimi naonesha logic ya habari zake ilivyo fyongo tu.

Kuhusu u T.O. I'm global like SWIFT.
Do not underrate my gift.

I don't want to be a big fish in a small pond.

I would rather be an average fish in a big pond.
 
Unasema Elias alikuwa hapendi kufundisha hesabu sababu ni somo rahisi sana duniani.
Sasa ilikuwaje O-level alipata B?

Eti alifelishwa na waalimu wake kwenye Telecom? Ina maana miaka hiyo aliyosoma hakuna ku-appeal matokeo wala hakuna external examiner, wala hakuna watu wa Quality Assuarance?

Acheni shombo za kitoto. Huyo alifeli sabbu ya dharau zake za kijinga na wala sio kwamba kichwa kigumu.

Hizo hesabu alizosema rahisi ndio zilimfanya awe discontinued Bachelor ya Telecom Eng.
Huyu T.o mweupe kabisa kichwani mtu aliyekuwa anachafua hesabu paka nasema ameshushwa au ni baba yangu tu wengine upupu tu
 
Back
Top Bottom