Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Yani mtu aliyepata bachelor degree baada ya miaka 11 ndo unamsifia hivi!!?

Nlivoanza kusoma uzi nlifikiri ntakutana na mtaalamu aliyevumbua kitu fulani kumbe ni mwalimu wa tuition.
Huyo mwalimu wa tuition anauwezo wa kuwa pita katika ufundishaj hata walimu waliosomea ualimu mara 1000 halafu kwenye hizo tuition zake anaingiza pesa nyingi kuliko mfanya kazi yeyote hapa tanzania. Kifupi ukimsikia Elias kihombo unatakiwa kusema 👉 He is anaother person in this education sector
-----Appreciate uwezo wa mtu bro yani elias ni mtu
 
Ni kweli labda jamaa alikuwa mkali kwenye Maths and Fizikia au sayansi kwa ujumla kwenye advance level, lakini kama unashindwa ku adapt University Education level ambapo unapewa kitumbuizi(introduction) na Lecturers halafu unaambiwa kasome mwenyewe na leta mrejesho wa 5000 words research essay eg. Discuss Finite Element Method in Engineering hapo ndio kazi, kama umezoweya kusolve ma equation kupata jibu.
 
Erasmi nampata, yupo wapi saiv. Last time nilimuona udsm mwaka 2017 semester 1. Wakat jamaa yupo form 4 sie pale Bwiru tulikuwa form 2. Mpinzani wake alikuwa Lameck na Fadhilahi Abdul Msuya. Wakiwa kwenye t-shirt nyekundu. Akina Mussa Mabrouk sijui wako wapi? Mambuye? n.k
Ila kiukweli MA TO wa Tz hawafiki mbali kuliko vichwa vyao..... Mi mshkaji wangu aliyemaliza na TO Elias PETROLEUM yupo kitaa, wkt alikuwa nae To 2013
 
Sema jamaa ana bahati mbaya, kila course anayosoma chuo inakuwa ni ile bendera fuata upepo. Iko wapi Telecoms saizi ? Iko wapi Petroleum Engineering saizi ?
 
Tunakariri sana, sijui kwanini hatugundui lolote lenye tija??

Wale magwiji wavumbuzi hawakumaliza hii elimu ya kukariri, bali sisi ndio tunasoma na kumaliza kazi zao. Sad.
 
Kihombo awezi tembeza hesabu ya Erasmus enyasi..Huyo dogo erasm alikuwa kichwa wa hesabu tokea tukiwa nae primary school huko Kilimanjaro...alikuwa anapiga 100% hesabu primary.. Akatoka akaenda tosa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kihombo awezi tembeza hesabu ya Erasmus enyasi..Huyo dogo erasm alikuwa kichwa wa hesabu tokea tukiwa nae primary school huko Kilimanjaro...alikuwa anapiga 100% hesabu primary.. Akatoka akaenda tosa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa alikuwa hatari kama aliweza kupiga wastani wa 98 kwa advance level sio poa.

Sema kwenye kufundisha yuko hovyo kama ile lecture yote aliyokuwa anakuja kumpiga mdogo wake pale uzumbeni dogo akatoka na three.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…