Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Daaaah haya "tufanye umeshinda"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja na wewe taaluma yako tukuone! Sio ujanja ujanja tu na maneno mengi 😂😂😂Unataka kila mtu ataje taaluma yake hapa?
Mbona za kiyombo huamini na sisi tutakuamin vipi kuwa we mhandisi? Weka vyeti hapa kuanzia form four, f a k e n ww
Kwani tulikuwa tunashindana! Mimi nilikuwa najaribu kuwaeleza ukweli.Daaaah haya "tufanye umeshinda"
Sasa unadhani Engineer atapatikanaje bila kufundishwa na EngineerEngineer anafundisha??..... hii kweli tz ya vi-wonder.....poor utilization of scare resources
Ulipita shule zipi hiyo miaka chief?Sasa huu ndio ujinga tuonasema!
Hebu weka hata hizo orodha zinazoonesha huyu aliongoza tangu shule ya msingi mpaka kidato cha sita!
Halafu kaangalie na wasifu wangu [ MANDELA CHARLES ] tangu 2003 nikiwa shule ya msingi, 2007 nikiwa kidato cha nne na 2010 nikiwa kidato cha sita.
Uone nani ni mkali? ELIAS KIHOMBO nimemchapa fimbo kwa wasifu wa kitaaluma ndio maana humuoni humu, anapita kimya kimya tu.
Huyo MARTIN CHEGERE ndio nani kwenye msitu wa elimu? Leteni hizo orodha zinazoonesha huyu na yeye aliongoza, sio kutaja taja majina tu.
Mimi nimesoma shule za kawaida tu!Ulipita shule zipi hiyo miaka chief?
Mimi nimesoma shule za kawaida tu!
Lakini hawa wanafunzi wa shule za vipaji nimewaburuza mno!
Huwa sipendi kujikweza, shule nilizosoma ni za serikali na zinafamika.
Tafuta orodha ya wanafunzi bora kidato cha nne, mwaka 2007. Utaniona hapo na shule niliyosoma.
Anaitwa Muhagachi Chacha TO form 6 2011. wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha sita watambulishwa bungeni leoEti Mhagacha Chacha! Sijui jina gani hili hata top 100 [100 bora] halipo labda alikuwa wa 5213 kitaifa [emoji23][emoji23]
Eeh labda hili jina lakini ngoja nikaangalie kwenye orodha kabla ya kusema chochote.Anaitwa Muhagachi Chacha TO form 6 2011. wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha sita watambulishwa bungeni leo
Tatizo la Necta huwa wanapost matokeo tu bila kuweka analysis nyingine muhimu kama hizi. Mimi nilipenda wawe wanafanya analysis nzuri na kuziweka kwenye website na sio kuziweka kwenye hardcopy ili tuishie kusoma kwenye magazeti . Leo ningekua na access na takwimu za mwaka 75 bila kwenda Necta ingekua poa sana
Kwani kusema nimewaburuza ndio kujisifu, kuwaburuza nimewaburuza kweli na wala sio uongo.Sasa unachokwepa kipi kama unadai hupendi kujikweza ama kujisifu mbona ushajisifu unewaburuza akina kiyombo na martin na unakazia upo kwenye orodha ya wanafunzi bora 2007,hamna ulichokwepa hapo☺☺☺
Bilashaka wewe ni mnyamwezi kama sio msukuma kwa mbwembwe hizo
Eeh sasa hivi ndio tunavyotaka kutoa elimu kwa wote na sio ujanja ujanja wa hapa na pale 😂😂😂Karibuni Elimutube App
Elimutube ni jukwaa ambalo utapata fursa ya kusoma kupitia notes na videos kutoka kwa walimu mahiri, wanaoaminika, na wenye uzoefu mkubwa Tanzania kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha sita.
Kutana na walimu mahiri kama Sir Kiteddy (Adv. Maths), Eng. Challange (Adv. Physics), Mr. Sabu (Adv. Chemistry), Legendary Mtegetwa (Geography), Sir Mgonja, (English), Sir Thobias (History) na wengineo wengi ndani ya Elimutube.
Ndani ya Elimutube tunasema kufeli sasa baaaasss!!!
Ingia Playstore itafute Elimutube kisha install na uanze kuitumia BURE kabisa au gusa link hii apa; ElimuTube - Apps on Google Play
#ElimutubeApp
#NoStudentIsLeftBehind
Yaani madudu ni mengi 😂Huyu mwanafunzi alisoma shule ya seminari kidato cha nne, sasa hivi anahangaika mtaani.
Halafu wewe jamaa vipi wewe[emoji15]Mimi nimesoma shule za kawaida tu!
Lakini hawa wanafunzi wa shule za vipaji nimewaburuza mno!
Huwa sipendi kujikweza, shule nilizosoma ni za serikali na zinafamika.
Tafuta orodha ya wanafunzi bora kidato cha nne, mwaka 2007. Utaniona hapo na shule niliyosoma.
Hizo orodha hazikutangazwa lakini zinapatikana Wizara ya TAMISEMI, Wizara ya Muungano, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na pia pale Utumishi wa Umma - Dodoma zinapatikana.Halafu wewe jamaa vipi wewe[emoji15]
Wewe so ulisema hakuna hizo orodha[emoji1787][emoji1787]
Hahahahah daaah kwa hiyo Yale matokeo ya necta Ni kiini macho[emoji2][emoji2][emoji2]Hizo orodha hazikutangazwa lakini zinapatikana Wizara ya TAMISEMI, Wizara ya Muungano, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na pia pale Utumishi wa Umma - Dodoma zinapatikana.
Kuna orodha mpaka za wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa kwenye kila somo, hizi orodha hata Utawala wa Magufuli wenyewe bado haujafikiria kuanza kutangaza. Lakini ni muhimu kwa wanafunzi kufahamu matokeo yao ya kitaifa katika kila somo na sio orodha za wanafunzi bora tu.
Maana ubadilifu na udanganyifu ni mkubwa sana, unakuta mwanafunzi ameongoza somo fulani kitaifa lakini kwenye cheti ameandikiwa alama ya ufaulu "D" na mfano halisi upo kabisa. Kwa mfano, mwanafunzi aliyeongoza kitaifa somo la Physics kidato cha sita, mwaka 2010 ameandikiwa alama ya ufaulu "E" badala ya "A". Huyu alikuwa ni mwanafunzi wa Moshi Secondary High School. Hii ni hasara kwa mwanafunzi husika na kituo chake cha mtihani, yaani shule.
Mambo ni mengi ya kueleza, lakini NECTA ni JIPU na ikiwezekana litumbuliwe hata kesho [[emoji23][emoji23][emoji23]] maana sisi wengine tumeshafahamu hata baada ya katibu mtendaji CHARLES MSONDE tunafahamu atakeyefuatia ni nani? Inabidi hiyo NECTA ifumuliwe yote kwa masilahi ya Umma na watumishi wote wa hapo wapangiwe shughuli nyingine za kufanya.
Hizi shule binafsi na shule za seminari huwa hazifaulu kama zinavyotangazwa, huwa wanapika matokeo ndio maana hata wanafunzi wao wanahangaika kupata ajira na wengine kukosa ajira kabisa.
Na mifano iko mingi kabisa, kuna mwanafunzi wa kidato cha nne alipata division I ya point 8 kutoka shule ya St Francis Girls na baadae alifanikiwa kupata shahada yake kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini lakini sasa hivi anatengeza na kuuza juisi ya matunda huko kwao, Forest - Mbeya.
Ukiangalia matokeo halisi ya huyu binti yanayosoma kwenye vitabu vya wahitimu yanasoma alipata division III ya point 23! Can't imagine! Yaani ni madudu tupu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa tatizo sio la mwanafunzi [ binti mwenyewe ni mzuri kweli kweli [emoji39]], tatizo ni NECTA na kituo cha mtihani yaani shule. Mambo ni mengi, tukiyaeleza yote hapa hawa NECTA watafukuzwa kazi na baadhi ya shule zitakosa wateja. Ngoja tuishie hapa au unasemaje mshikaji wangu!.
Kwan wanaofundisha wajinga sana au...acha dharaunchi za watu unafungwa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Engineer unafundisha
Yale huwa ni nakala ya matokeo kupitia vituo vya mitihani, yaani shule. Lakini huwa kuna orodha ya matokeo ya watahiniwa wote yaliyopangwa kwa ufaulu kuanzia mwanafunzi wa kwanza mpaka mwanafunzi wa mwisho kitaifa.Hahahahah daaah kwa hiyo Yale matokeo ya necta Ni kiini macho[emoji2][emoji2][emoji2]
Ila nyinyi mna matokeo halisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daaah daah[emoji44][emoji44][emoji44][emoji119]