Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Unataka kila mtu ataje taaluma yake hapa?

Mbona za kiyombo huamini na sisi tutakuamin vipi kuwa we mhandisi? Weka vyeti hapa kuanzia form four, f a k e n ww
Taja na wewe taaluma yako tukuone! Sio ujanja ujanja tu na maneno mengi 😂😂😂

Mimi najiamini, ndio maana natumia utambulisho wangu halisi, na wewe ni nani?

Yaani ukitumia utambulisho wako halisi, nitajua wasifu wako ndani ya masaa tu 😂😂😂

Haya hebu nieleze wasifu wako hapa! Kama kweli unajiamini 😂😂😂

Unaweza kutumia kiswahili au hata kiingereza kama unaweza kwa sababu hizi lugha zote zinatumika.
 
Sasa huu ndio ujinga tuonasema!

Hebu weka hata hizo orodha zinazoonesha huyu aliongoza tangu shule ya msingi mpaka kidato cha sita!

Halafu kaangalie na wasifu wangu [ MANDELA CHARLES ] tangu 2003 nikiwa shule ya msingi, 2007 nikiwa kidato cha nne na 2010 nikiwa kidato cha sita.

Uone nani ni mkali? ELIAS KIHOMBO nimemchapa fimbo kwa wasifu wa kitaaluma ndio maana humuoni humu, anapita kimya kimya tu.

Huyo MARTIN CHEGERE ndio nani kwenye msitu wa elimu? Leteni hizo orodha zinazoonesha huyu na yeye aliongoza, sio kutaja taja majina tu.
Ulipita shule zipi hiyo miaka chief?
 
Ulipita shule zipi hiyo miaka chief?
Mimi nimesoma shule za kawaida tu!

Lakini hawa wanafunzi wa shule za vipaji nimewaburuza mno!

Huwa sipendi kujikweza, shule nilizosoma ni za serikali na zinafamika.

Tafuta orodha ya wanafunzi bora kidato cha nne, mwaka 2007. Utaniona hapo na shule niliyosoma.
 
Ngoja nikipata muda mzuri, tutajadili kwa kina elimu ya TANZANIA na madhaifu yake maana hali ni mbaya. Kuna upotoshaji na udanganyifu wa kutisha kwenye kuwasilisha matokeo ya wanafunzi, yaani vyeti. Hapa ndio mchezo huwa unafanyika.
 
Mimi nimesoma shule za kawaida tu!

Lakini hawa wanafunzi wa shule za vipaji nimewaburuza mno!

Huwa sipendi kujikweza, shule nilizosoma ni za serikali na zinafamika.

Tafuta orodha ya wanafunzi bora kidato cha nne, mwaka 2007. Utaniona hapo na shule niliyosoma.

Sasa unachokwepa kipi kama unadai hupendi kujikweza ama kujisifu mbona ushajisifu unewaburuza akina kiyombo na martin na unakazia upo kwenye orodha ya wanafunzi bora 2007,hamna ulichokwepa hapo☺☺☺
Bilashaka wewe ni mnyamwezi kama sio msukuma kwa mbwembwe hizo
 
Eti Mhagacha Chacha! Sijui jina gani hili hata top 100 [100 bora] halipo labda alikuwa wa 5213 kitaifa [emoji23][emoji23]
Anaitwa Muhagachi Chacha TO form 6 2011. wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha sita watambulishwa bungeni leo

Tatizo la Necta huwa wanapost matokeo tu bila kuweka analysis nyingine muhimu kama hizi. Mimi nilipenda wawe wanafanya analysis nzuri na kuziweka kwenye website na sio kuziweka kwenye hardcopy ili tuishie kusoma kwenye magazeti . Leo ningekua na access na takwimu za mwaka 75 bila kwenda Necta ingekua poa sana
 
Karibuni Elimutube App

Elimutube ni jukwaa ambalo utapata fursa ya kusoma kupitia notes na videos kutoka kwa walimu mahiri, wanaoaminika, na wenye uzoefu mkubwa Tanzania kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha sita.

Kutana na walimu mahiri kama Sir Kiteddy (Adv. Maths), Eng. Challange (Adv. Physics), Mr. Sabu (Adv. Chemistry), Legendary Mtegetwa (Geography), Sir Mgonja, (English), Sir Thobias (History) na wengineo wengi ndani ya Elimutube.

Ndani ya Elimutube tunasema kufeli sasa baaaasss!!!

Ingia Playstore itafute Elimutube kisha install na uanze kuitumia BURE kabisa au gusa link hii apa; ElimuTube - Apps on Google Play

#ElimutubeApp
#NoStudentIsLeftBehind
 
Eeh labda hili jina lakini ngoja nikaangalie kwenye orodha kabla ya kusema chochote.
 
Sasa unachokwepa kipi kama unadai hupendi kujikweza ama kujisifu mbona ushajisifu unewaburuza akina kiyombo na martin na unakazia upo kwenye orodha ya wanafunzi bora 2007,hamna ulichokwepa hapo☺☺☺
Bilashaka wewe ni mnyamwezi kama sio msukuma kwa mbwembwe hizo
Kwani kusema nimewaburuza ndio kujisifu, kuwaburuza nimewaburuza kweli na wala sio uongo.

Lakini inabidi na wewe uwe mkweli, kaangalie matokeo ya kidato cha nne mwaka 2007 ndio utaona na shule niliyosoma.

Huku nafanya matayarisho ya kuwaelezea jinsi elimu ya TANZANIA ilivyo na wewe inabidi utuletee orodha ya wanafunzi bora kidato cha sita aliyoongoza Elias Kihombo. 😁😁
 
Karibuni Elimutube App

Elimutube ni jukwaa ambalo utapata fursa ya kusoma kupitia notes na videos kutoka kwa walimu mahiri, wanaoaminika, na wenye uzoefu mkubwa Tanzania kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha sita.

Kutana na walimu mahiri kama Sir Kiteddy (Adv. Maths), Eng. Challange (Adv. Physics), Mr. Sabu (Adv. Chemistry), Legendary Mtegetwa (Geography), Sir Mgonja, (English), Sir Thobias (History) na wengineo wengi ndani ya Elimutube.

Ndani ya Elimutube tunasema kufeli sasa baaaasss!!!

Ingia Playstore itafute Elimutube kisha install na uanze kuitumia BURE kabisa au gusa link hii apa; ElimuTube - Apps on Google Play

#ElimutubeApp
#NoStudentIsLeftBehind
Eeh sasa hivi ndio tunavyotaka kutoa elimu kwa wote na sio ujanja ujanja wa hapa na pale 😂😂😂
 
Mimi nimesoma shule za kawaida tu!

Lakini hawa wanafunzi wa shule za vipaji nimewaburuza mno!

Huwa sipendi kujikweza, shule nilizosoma ni za serikali na zinafamika.

Tafuta orodha ya wanafunzi bora kidato cha nne, mwaka 2007. Utaniona hapo na shule niliyosoma.
Halafu wewe jamaa vipi wewe[emoji15]

Wewe so ulisema hakuna hizo orodha[emoji1787][emoji1787]
 
Halafu wewe jamaa vipi wewe[emoji15]

Wewe so ulisema hakuna hizo orodha[emoji1787][emoji1787]
Hizo orodha hazikutangazwa lakini zinapatikana Wizara ya TAMISEMI, Wizara ya Muungano, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na pia pale Utumishi wa Umma - Dodoma zinapatikana.

Kuna orodha mpaka za wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa kwenye kila somo, hizi orodha hata Utawala wa Magufuli wenyewe bado haujafikiria kuanza kutangaza. Lakini ni muhimu kwa wanafunzi kufahamu matokeo yao ya kitaifa katika kila somo na sio orodha za wanafunzi bora tu.

Maana ubadilifu na udanganyifu ni mkubwa sana, unakuta mwanafunzi ameongoza somo fulani kitaifa lakini kwenye cheti ameandikiwa alama ya ufaulu "D" na mfano halisi upo kabisa. Kwa mfano, mwanafunzi aliyeongoza kitaifa somo la Physics kidato cha sita, mwaka 2010 ameandikiwa alama ya ufaulu "E" badala ya "A". Huyu alikuwa ni mwanafunzi wa Moshi Secondary High School. Hii ni hasara kwa mwanafunzi husika na kituo chake cha mtihani, yaani shule.

Mambo ni mengi ya kueleza, lakini NECTA ni JIPU na ikiwezekana litumbuliwe hata kesho [😂😂😂] maana sisi wengine tumeshafahamu hata baada ya katibu mtendaji CHARLES MSONDE tunafahamu atakeyefuatia ni nani? Inabidi hiyo NECTA ifumuliwe yote kwa masilahi ya Umma na watumishi wote wa hapo wapangiwe shughuli nyingine za kufanya.

Hizi shule binafsi na shule za seminari huwa hazifaulu kama zinavyotangazwa, huwa wanapika matokeo ndio maana hata wanafunzi wao wanahangaika kupata ajira na wengine kukosa ajira kabisa.

Na mifano iko mingi kabisa, kuna mwanafunzi wa kidato cha nne alipata division I ya point 8 kutoka shule ya St Francis Girls na baadae alifanikiwa kupata shahada yake kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini lakini sasa hivi anatengeza na kuuza juisi ya matunda huko kwao, Forest - Mbeya.

Ukiangalia matokeo halisi ya huyu binti yanayosoma kwenye vitabu vya wahitimu yanasoma alipata division III ya point 23! Can't imagine! Yaani ni madudu tupu 😂😂😂

Sasa tatizo sio la mwanafunzi [ binti mwenyewe ni mzuri kweli kweli 😋], tatizo ni NECTA na kituo cha mtihani yaani shule. Mambo ni mengi, tukiyaeleza yote hapa hawa NECTA watafukuzwa kazi na baadhi ya shule zitakosa wateja. Ngoja tuishie hapa au unasemaje mshikaji wangu!.
 
Hizo orodha hazikutangazwa lakini zinapatikana Wizara ya TAMISEMI, Wizara ya Muungano, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na pia pale Utumishi wa Umma - Dodoma zinapatikana.

Kuna orodha mpaka za wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa kwenye kila somo, hizi orodha hata Utawala wa Magufuli wenyewe bado haujafikiria kuanza kutangaza. Lakini ni muhimu kwa wanafunzi kufahamu matokeo yao ya kitaifa katika kila somo na sio orodha za wanafunzi bora tu.

Maana ubadilifu na udanganyifu ni mkubwa sana, unakuta mwanafunzi ameongoza somo fulani kitaifa lakini kwenye cheti ameandikiwa alama ya ufaulu "D" na mfano halisi upo kabisa. Kwa mfano, mwanafunzi aliyeongoza kitaifa somo la Physics kidato cha sita, mwaka 2010 ameandikiwa alama ya ufaulu "E" badala ya "A". Huyu alikuwa ni mwanafunzi wa Moshi Secondary High School. Hii ni hasara kwa mwanafunzi husika na kituo chake cha mtihani, yaani shule.

Mambo ni mengi ya kueleza, lakini NECTA ni JIPU na ikiwezekana litumbuliwe hata kesho [[emoji23][emoji23][emoji23]] maana sisi wengine tumeshafahamu hata baada ya katibu mtendaji CHARLES MSONDE tunafahamu atakeyefuatia ni nani? Inabidi hiyo NECTA ifumuliwe yote kwa masilahi ya Umma na watumishi wote wa hapo wapangiwe shughuli nyingine za kufanya.

Hizi shule binafsi na shule za seminari huwa hazifaulu kama zinavyotangazwa, huwa wanapika matokeo ndio maana hata wanafunzi wao wanahangaika kupata ajira na wengine kukosa ajira kabisa.

Na mifano iko mingi kabisa, kuna mwanafunzi wa kidato cha nne alipata division I ya point 8 kutoka shule ya St Francis Girls na baadae alifanikiwa kupata shahada yake kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini lakini sasa hivi anatengeza na kuuza juisi ya matunda huko kwao, Forest - Mbeya.

Ukiangalia matokeo halisi ya huyu binti yanayosoma kwenye vitabu vya wahitimu yanasoma alipata division III ya point 23! Can't imagine! Yaani ni madudu tupu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa tatizo sio la mwanafunzi [ binti mwenyewe ni mzuri kweli kweli [emoji39]], tatizo ni NECTA na kituo cha mtihani yaani shule. Mambo ni mengi, tukiyaeleza yote hapa hawa NECTA watafukuzwa kazi na baadhi ya shule zitakosa wateja. Ngoja tuishie hapa au unasemaje mshikaji wangu!.
Hahahahah daaah kwa hiyo Yale matokeo ya necta Ni kiini macho[emoji2][emoji2][emoji2]

Ila nyinyi mna matokeo halisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Daaah daah[emoji44][emoji44][emoji44][emoji119]
 
Hahahahah daaah kwa hiyo Yale matokeo ya necta Ni kiini macho[emoji2][emoji2][emoji2]

Ila nyinyi mna matokeo halisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Daaah daah[emoji44][emoji44][emoji44][emoji119]
Yale huwa ni nakala ya matokeo kupitia vituo vya mitihani, yaani shule. Lakini huwa kuna orodha ya matokeo ya watahiniwa wote yaliyopangwa kwa ufaulu kuanzia mwanafunzi wa kwanza mpaka mwanafunzi wa mwisho kitaifa.

Pia huwa kuna orodha ya wanafunzi bora waliofanya vizuri kitaifa katika kila somo lililosajiriwa na NECTA.

Yaani kwenye masomo yote huwa kuna mwanafunzi aliyeongoza kitaifa na orodha zao huwa zipo, mwanafunzi wa kwanza mpaka mwanafunzi wa mwisho kitaifa katika kila somo.

Taarifa hizi huwezi kuzipata kwingine, tofauti au mbali na vitabu vya wahitimu. Huwa kuna vitabu vya wahitimu vinavyoonesha idadi yote ya wahitimu waliofanya mtihani wa taifa.

Hivi vitabu vya wahitimu ndio huwa vinavyotumika kujaza taarifa za wanafunzi kwenye faili la maendeleo ya kitaaluma ya mwanafunzi husika.

NECTA huwa wanaonesha madaraja ya ufaulu tu, yaani DIVISION ONE, DIVISION TWO, DIVISION THREE, DIVISION FOUR na DIVISION ZERO. Lakini hivi vitabu vya wahitimu vinavyoonesha mambo yote kwa pamoja, yaani nafasi ya mwanafunzi kitaifa na daraja la ufaulu.

Na unatakiwa kufahamu kuwa kuandaa au kuchapisha cheti cha matokeo ya mwanafunzi huwa ni hatua ya mwisho kabisa, hapa ndio wanaachiwa baraza la mitihani kuchapisha vyeti vya wahitimu, yaani wanafunzi.

Lakini wanaosahisha mitihani ya wanafunzi huwa sio watu kutoka NECTA, huwa kuna tume maalum [ tume isiyo rasmi ] inayoteuliwa na ofisi ya rais kusahisha mitihani ya wanafunzi husika. Hii tume maalum anaweza kuchaguliwa mwalimu yoyote kutoka shule yoyote ya serikali au isiyo ya serikali pasipo hata NECTA kujua.

Na kila somo huwa linasahishwa katika mkoa ulioteuliwa kwa mwaka huo. Yaani hii tume maalum inaweza kuamua mwaka huu somo la Mathematics likasahishwa mkoa wa Iringa! Somo la Biology likasahishwa mkoa wa Kagera! Somo la Civics likasahishwa mkoa wa Tabora! Somo la Physics likasahishwa mkoa wa Dodoma! Somo la Chemistry likasahishwa mkoa wa Arusha! Yaani hakuna sehemu maalum au watu maalum wa kusahisha mitihani, huwa inabadilika kila mwaka ili kuondoa ubadilifu.

Baada ya kusahisha mitihani katika kila mkoa ulioteuliwa kwa mwaka huo, huwa wanajumuisha masomo yote ili kupata matokeo ya ujumla kwa kila mwanafunzi. Na hapo ndio huwa anapatikana mwanafunzi wa kwanza mpaka mwanafunzi wa mwisho kitaifa.

Lakini kuandaa au kuchapisha vyeti huwa wanaachiwa Baraza la Mitihani, yaani NECTA.

Hapa NECTA ndio huwa wanacheza na nakala za matokeo kwenye kuandaa vyeti tu na kuvituma kwenye vituo vya mitihani yaani shule baada ya kupokea matokeo halisi kutoka ile tume maalum ya usahishaji.

Sasa hii tume maalum huwa iko chini ya ofisi ya rais, na wajumbe wa hii tume huwa wanakula kiapo cha utii na kutunza siri za kitaaluma za wanafunzi waliofanya mtihani wa taifa.

Baraza la Mitihani yaani NECTA huwa wanaandaa au kuchapisha vyeti tu maana hata kutangaza wanafunzi bora waliofanya vizuri kitaifa lazima wapate idhini ya Rais, wanaita OPD au PDO [ PRESIDENTIAL DECREE ORDER ]. Ndio maana kuna miaka mingine unaona orodha ya wanafunzi bora na miaka mingine orodha ya wanafunzi bora huwa hakuna. Hapo Rais anakuwa hajatoa idhini ya kutangaza wanafunzi bora waliofanya vizuri kitaifa.

Nadhani tumeelewana sasa! Kwa hiyo, michezo yote michafu huwa inafanyika hatua ya mwisho ya kuandaa au kuchapisha vyeti vya wahitimu yaani wanafunzi. Lakini matokeo halisi baada ya kusahisha huwa yapo na haya ndio huwa yanatumika pia kuchapisha vitabu vya wahitimu.
 
Back
Top Bottom