Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Nilikuwa naona unachoandika kina maana but baada ya kuanza kuandika mambo ya kina Rama nimepuuza yote uliyoyaandika.
Ila ndo UKWELI. Akina RAMA ndo waliompeleka kifimbo UNO kudai Uhuru. Utake usitake wapo na ni hatari. Na ndo walinzi wa nchi hii. Eti tuna amani, wanafanya kazi usiku na mchana kupambana na maadui wa Ndani na nje.
 
Ila ndo UKWELI. Akina RAMA ndo waliompeleka kifimbo UNO kudai Uhuru. Utake usitake wapo na ni hatari. Na ndo walinzi wa nchi hii. Eti tuna amani, wanafanya kazi usiku na mchana kupambana na maadui wa Ndani na nje.
You mean akina Rama ni Roman catholic church?
 
FB_IMG_16058953521605861.jpg
R.I.P brother
 
Hebu jaribu kumuona Daktari wa akili mkuu! Kuna shida sehemu yako ya ubongo
Utulivu unahitajika kuelewa mambo yanayofanyika Tanzania na ukielewa Jamhuri ya watu wa CHUI au kwa jina lingine SERENGETI au kwa jina lingine RAMADHANI au RAMA ndio utaelewa Chama Tawala kinavyofanya kazi na hapo ndio utakuwa umeielewa TANZANIA.
 
Una chuki binafsi na hao watu wa mara?
Hapana! Kuwa makini utanielewa! Najadili mambo kwa ushahidi na sio vinginevyo! Na hao ndio wenye TANZANIA tangu mwaka 1961 na hao ndio CCM HALISI wengine ni CCM MASILAHI.
 
You mean akina Rama ni Roman catholic church?
Hapana! Sio Roman Catholic Church! RAMADHANI ni RAMA!

Hao ndio wameshika dini zote TANZANIA ikiwemo hata hili KANISA KUBWA maana hata Rais wa TECHNICAL, GERVAS na yeye ni RAMADHANI na hata BAKWATA imeshikwa na hawa wakina RAMADHANI.

Hata Sheikh PONDA huwa anapambana na hawa wakina RAMADHANI pale BAKWATA. Ni hatari mno, unahitaji kuwa makini.
 
Unaona mambo hayo sasa! Apumzike kwa amani!

Inabidi kuwa makini sana na kuepusha mikusanyiko isiyo ya lazima!

Maana kuna uwezekano mkubwa kwa wale wanafunzi waliongoza kitaifa kihalali kuwa na operesheni ya kuwapunguza [ ⚰️ ]

Ndio maana mimi tangu niliporudi Tanzania nakufahamu kuhusu matokeo yangu halisi nimekuwa makini sana na hata kupunguza mikusanyiko isiyokuwa na lazima.
 


Jaribu tena kusikiliza hii nyimbo ya SIZONJE, ni nyimbo iliyosheheni lugha ya kimuundo ikiwa na maana halisi ya kile kinachofanyika NECTA.
 
Unaona mambo hayo sasa! Apumzike kwa amani!

Inabidi kuwa makini sana na kuepusha mikusanyiko isiyo ya lazima!

Maana kuna uwezekano mkubwa kwa wale wanafunzi waliongoza kitaifa kihalali kuwa na operesheni ya kuwapunguza [ [emoji3545] ]

Ndio maana mimi tangu niliporudi Tanzania nakufahamu kuhusu matokeo yangu halisi nimekuwa makini sana na kupunguza mikusanyiko isiyokuwa na lazima.
Isije ikawa na Mimi nahujumiwa na Hawa watu. Nitumie full stori inbox ili nami niwe aware na kinachoendelea Tz.
 
Kuna Civil Engineer kutoka chuo kikuu cha Dar Es Salaam [UDSM] anachonga madirisha.

Na ukiangalia vyeti vyake ana matokeo mazuri tu ya kidato cha nne na kidato cha sita.

Matokeo ya kidato cha nne ana division one ya point 7 [2008] na matokeo ya kidato cha sita ana division one ya point 7 [2011].

Lakini TSM9 inagoma! Hii fomu ndio inayotoa taarifa sahihi za mwanafunzi husika.

TSM9 inasoma kidato cha nne alipata division one ya point 11 na kidato cha sita alipata division three ya point 13.

Kwahiyo inaonekana kuna udanganyifu ulifanyika katika kuwasilisha matokeo ya huyu mwanafunzi kwenye nakala za matokeo, yaani vyeti.

Hapa inaonekana ilitumika rushwa! Kama tunavyofahamu shule binafsi zinavyofanya ili kuvutia wateja.

Na matatizo kama haya ndio atapata muhitimu pale atakapohitimu masomo yake na kuanza kutafuta ajira.
Watahiniwa 1,059 wafutiwa matokeo, wakosa nafasi kurudia

Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limewafutia mitihani watahiniwa 1,059 kutoka shule 38 zilizofanya udanganyifu katika mitihani hiyo.

Herieth Makwetta, Mwananchi
hmakwetta@mwananchi.co.tz

Dar es Salaam.
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limewafutia mitihani watahiniwa 1,059 kutoka shule 38 zilizofanya udanganyifu katika mitihani hiyo.

Akitangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (PSLE) leo Jumamosi, Novemba 21, 2020 Katibu Mtendaji wa Necta Dk Charles Msonde amesema watahiniwa hao hawatapata nafasi nyingine ya kurudia matokeo hayo.

Msonde alisema pamoja na kamati ya mitihani kutimiza wajibu wao vizuri, kulijitokeza matukio machache ya udanganyifu wa mitihani katika baadhi ya shule nchini.

“Jumla ya shule 38 sawa na asilimia 0.22 ya shule zote za msingi 17,329 zilizofanya mitihani, zimebainika kufanya udanganyifu wa mitihani kwa namna mbalimbali. Watahiniwa 1,059 sawa na asilimia 0.1 ya wote 1,023,950 waliofanya mitihani walibainika kudanganya,” alisema Dk Msonde.

Msonde alisema shule hizo zilifanya makosa mbalimbali ikiwamo kuiba mitihani, kugawa majibu kwa wanafunzi na kubadilisha watahiniwa kwa kuwaweka wasio halisi kuwafanyia mitihani wanafunzi watoto.

Shule zilizobainika kufanya udanganyifu huo ni pamoja na shule za msingi za Ngiloli, Nguyami, Ibuti, Ihenje, Bwawani, Mogohigwa, Chakwale, Msingisi zilizopo Halmashauri ya Gairo.

Zingine ni Mafiri, Kibogoji, Ng’wambe, Digalama, Dihinda kutoka Halmashauri ya Mvomero na shule za msingi za Nyawa A iliyopo Halmashauri ya Bariadi vijijini (Simiyu).

Shule zingine ni za Halmashauri ya Chabutwa, Sikonge Tabora ikiwemo shule yawmsingi Chabutwa, shule ya msingi Usagari, Uyui Tabora shule ya msingi Siashimbwe iliyopo Moshi Kilimanjaro, Dominion Arusha, Matogoro ya Tandahimba Mtwara, Ng’arita Bariadi vijijini Simiyu, Olkitikiti Kiteto iliyopo Manyara na Nyamimina Buchosa Mwanza
 
Back
Top Bottom