Sauti ya Mamlaka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,601
- 2,354
Rip legend wana tosa tunaikumbuka legacy uliyoiacha kwa shule yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaa Haaaaa a 😂 harudiiUnataka kuhakiki kuwa mimi ni mwanaume?
Ila ndo UKWELI. Akina RAMA ndo waliompeleka kifimbo UNO kudai Uhuru. Utake usitake wapo na ni hatari. Na ndo walinzi wa nchi hii. Eti tuna amani, wanafanya kazi usiku na mchana kupambana na maadui wa Ndani na nje.Nilikuwa naona unachoandika kina maana but baada ya kuanza kuandika mambo ya kina Rama nimepuuza yote uliyoyaandika.
You mean akina Rama ni Roman catholic church?Ila ndo UKWELI. Akina RAMA ndo waliompeleka kifimbo UNO kudai Uhuru. Utake usitake wapo na ni hatari. Na ndo walinzi wa nchi hii. Eti tuna amani, wanafanya kazi usiku na mchana kupambana na maadui wa Ndani na nje.
Ni hatari sana hata kuzungumzia humu sio salama kabisa!
Utulivu unahitajika kuelewa mambo yanayofanyika Tanzania na ukielewa Jamhuri ya watu wa CHUI au kwa jina lingine SERENGETI au kwa jina lingine RAMADHANI au RAMA ndio utaelewa Chama Tawala kinavyofanya kazi na hapo ndio utakuwa umeielewa TANZANIA.Hebu jaribu kumuona Daktari wa akili mkuu! Kuna shida sehemu yako ya ubongo
Hapana! Kuwa makini utanielewa! Najadili mambo kwa ushahidi na sio vinginevyo! Na hao ndio wenye TANZANIA tangu mwaka 1961 na hao ndio CCM HALISI wengine ni CCM MASILAHI.Una chuki binafsi na hao watu wa mara?
Hapana! Sio Roman Catholic Church! RAMADHANI ni RAMA!You mean akina Rama ni Roman catholic church?
May his soul rest in eternal peace, Amen!May we meet again Kihombo.
Unaona mambo hayo sasa! Apumzike kwa amani!Aiseeee
Unaona mambo hayo sasa! Inabidi tukutane mwakani aisee!Aiseeee
Isije ikawa na Mimi nahujumiwa na Hawa watu. Nitumie full stori inbox ili nami niwe aware na kinachoendelea Tz.Unaona mambo hayo sasa! Apumzike kwa amani!
Inabidi kuwa makini sana na kuepusha mikusanyiko isiyo ya lazima!
Maana kuna uwezekano mkubwa kwa wale wanafunzi waliongoza kitaifa kihalali kuwa na operesheni ya kuwapunguza [ [emoji3545] ]
Ndio maana mimi tangu niliporudi Tanzania nakufahamu kuhusu matokeo yangu halisi nimekuwa makini sana na kupunguza mikusanyiko isiyokuwa na lazima.
Watahiniwa 1,059 wafutiwa matokeo, wakosa nafasi kurudiaKuna Civil Engineer kutoka chuo kikuu cha Dar Es Salaam [UDSM] anachonga madirisha.
Na ukiangalia vyeti vyake ana matokeo mazuri tu ya kidato cha nne na kidato cha sita.
Matokeo ya kidato cha nne ana division one ya point 7 [2008] na matokeo ya kidato cha sita ana division one ya point 7 [2011].
Lakini TSM9 inagoma! Hii fomu ndio inayotoa taarifa sahihi za mwanafunzi husika.
TSM9 inasoma kidato cha nne alipata division one ya point 11 na kidato cha sita alipata division three ya point 13.
Kwahiyo inaonekana kuna udanganyifu ulifanyika katika kuwasilisha matokeo ya huyu mwanafunzi kwenye nakala za matokeo, yaani vyeti.
Hapa inaonekana ilitumika rushwa! Kama tunavyofahamu shule binafsi zinavyofanya ili kuvutia wateja.
Na matatizo kama haya ndio atapata muhitimu pale atakapohitimu masomo yake na kuanza kutafuta ajira.