Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Kuna mbuzi bila kutaja tarime na wakurya haili nyasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
D.B. cooper ndio usipishe kbs....Duh huyo jamaa balaa
Dah unaita watu mbuziKuna mbuzi bila kutaja tarime na wakurya haili nyasi.
mkuu hio ndio signature ya zodiac mwenyeweStory nzur jamaa alikua hatar sana nlikuwa naonaga hii signaturebila jua nn maana yake.![]()
tafuta filamu ya ZODIAC inazungumzia kisa hiki,hutojutiaNa hizo movies zote walizotengeneza walizungumzia maisha yake?
Mkuu ni sawa ulivyosema, ukiangalia huyu zodiac Mara nyingi alikua akifanya mauaji kwa wapenzi(couples)... Hali iliyopelekea vyombo vya usalama kuhisi atakua mtu ambaye anakaa mwenyewe muda wote au mtu mwenye historia mbaya na mapenziMara nyingi serial killers wanakuwagawy amechanganyikiwa na kuongozwa na aina fulani ya sauti kwenye ubongo. Kila akiisikia hiyo sauti anatoka kwenda kutafuta mtu wa kuua.
Na hata wakikamatwa haiwachukui muda vyombo vya usalama kung'amua yaliyojificha maana wenyewe huelezea kwa furaha kabisa wakijua waliyokuwa wakiyafanya ni halali kwao. Wote huja na sababu tofauti; mwingine atakwambia anapenda kuona damu inavyoruka, mwingine mtu anapotoa ukelele wa mwisho akuwa anakata roho, mwingine mtu anapotupa tupa mikono na miguu wakati anakata roho n.k
Kiufupi they are psychological affected by their back ground history
Ni kweli mkuu, hata watu wanaosumbuliwa na loneliness wapo ambao hufikia hatua hii na kuua wapenzi.Mkuu ni sawa ulivyosema, ukiangalia huyu zodiac Mara nyingi alikua akifanya mauaji kwa wapenzi(couples)... Hali iliyopelekea vyombo vya usalama kuhisi atakua mtu ambaye anakaa mwenyewe muda wote au mtu mwenye historia mbaya na mapenzi
Kuna mstari mdogo sana kati ya ukichaa na utimamu kwenye akili ya mwanadamuNi kweli mkuu, hata watu wanaosumbuliwa na loneliness wapo ambao hufikia hatua hii na kuua wapenzi.