Mfahamu Zodiac Killer, muuaji aliyeitikisa Marekani

huyo jamaa lazima alikuwa ni jasusi na hayo mauaji lazima lazima alitumwa na nchi flani afanye hivyo ili kulipiza kisasi.
 
kuna binadamu waweza fikiria mizuka/majini..........nimeumia pale anapowaua wapenzi tena wa umri mdogo ndio kwanza wanaanza furahia maisha 🙄
 
Story nzur jamaa alikua hatar sana nlikuwa naonaga hii signature
95dda9a488881d57898703ba9602e8b5.jpg
bila jua nn maana yake.
 
Na hizo movies zote walizotengeneza walizungumzia maisha yake?
 
Umenikumbusha yule sniper aliekuwa ametoboa kwenye boti kazi yake ilikuwa ni kupiga risasi za kichwa watu kwenye shell hadi ikashauliwa ukiwa unajaza mafuta sharti uchezeshe kichwa ili asipate shabaha marekani kuna vituko
 
Kama alikuwa anawaua wamarekani wenzie fresh tu
 
Mara nyingi serial killers wanakuwagawy amechanganyikiwa na kuongozwa na aina fulani ya sauti kwenye ubongo. Kila akiisikia hiyo sauti anatoka kwenda kutafuta mtu wa kuua.
Na hata wakikamatwa haiwachukui muda vyombo vya usalama kung'amua yaliyojificha maana wenyewe huelezea kwa furaha kabisa wakijua waliyokuwa wakiyafanya ni halali kwao. Wote huja na sababu tofauti; mwingine atakwambia anapenda kuona damu inavyoruka, mwingine mtu anapotoa ukelele wa mwisho akuwa anakata roho, mwingine mtu anapotupa tupa mikono na miguu wakati anakata roho n.k
Kiufupi they are psychological affected by their back ground history
 
Mkuu ni sawa ulivyosema, ukiangalia huyu zodiac Mara nyingi alikua akifanya mauaji kwa wapenzi(couples)... Hali iliyopelekea vyombo vya usalama kuhisi atakua mtu ambaye anakaa mwenyewe muda wote au mtu mwenye historia mbaya na mapenzi
 
Ni kweli mkuu, hata watu wanaosumbuliwa na loneliness wapo ambao hufikia hatua hii na kuua wapenzi.
 
Kuna mstari mdogo sana kati ya ukichaa na utimamu kwenye akili ya mwanadamu

Kitu kidogo kinaweza kusababisha akili ikaji trigger upande mwingine hapa ndipo hasa mtu huanza kufanya mambo ya ajabu
 
Back
Top Bottom