Mark pawelk
Senior Member
- Jan 6, 2017
- 103
- 339
- Thread starter
-
- #61
Mkuu kama utaweza kuleta hiki kisa Fanya hivyo, kwa faida ya wanajukwaa woteUmenikumbusha yule sniper aliekuwa ametoboa kwenye boti kazi yake ilikuwa ni kupiga risasi za kichwa watu kwenye shell hadi ikashauliwa ukiwa unajaza mafuta sharti uchezeshe kichwa ili asipate shabaha marekani kuna vituko
Alikuwa anaitwa kenonke ila sasa hiyo maana yake sasa ndiyo kifo chakoHuyo Jamaa kwa matukio hayo naweza mfananisha na yule jamaa wa Tarime aliyewalaza Tarime saa 12 za jioni pamoja na kupelekewa kikosi maalum haikufua dafu. Jina lake limenitoka ila alijiwekea historia ya pekee kwa wakurya wa Tarime.
Mauaji ya Kutisha Tarime
Kinonke means hiki ni nini au hiki ni kitu gani?Ewaaa hilo la Kinonke ndio nilikuwa nalisubiri mkuu, wakurya wote Ujasiri waliuazima nchi jirani.