Mfahamu Zodiac Killer, muuaji aliyeitikisa Marekani

Mfahamu Zodiac Killer, muuaji aliyeitikisa Marekani

Umenikumbusha yule sniper aliekuwa ametoboa kwenye boti kazi yake ilikuwa ni kupiga risasi za kichwa watu kwenye shell hadi ikashauliwa ukiwa unajaza mafuta sharti uchezeshe kichwa ili asipate shabaha marekani kuna vituko
Mkuu kama utaweza kuleta hiki kisa Fanya hivyo, kwa faida ya wanajukwaa wote
 
Aisee kuna watu mashujaa sana hapa duniani....akili nyingi, ukatili na kila maujanja ya ajabu ajabu watu wanayo
 
Huyo Jamaa kwa matukio hayo naweza mfananisha na yule jamaa wa Tarime aliyewalaza Tarime saa 12 za jioni pamoja na kupelekewa kikosi maalum haikufua dafu. Jina lake limenitoka ila alijiwekea historia ya pekee kwa wakurya wa Tarime.
04629a27b21ce65cfd3036d8e6103e6c.jpg

Mauaji ya Kutisha Tarime
Alikuwa anaitwa kenonke ila sasa hiyo maana yake sasa ndiyo kifo chako
 
That man was suffering from post traumatic disorder. No other words to discribe his mental situation. Very sad his relatives didnt realize that till he got killed.
 
Back
Top Bottom