Mfahanu Williams Shakespeare na utata wa kazi zake

Mfahanu Williams Shakespeare na utata wa kazi zake

Baadhi ya mashairi yake hata uwe na dictionary ya namna gani hutoboi!! Hapa wengi hutumia neno la mbele au la nyuma kubuni maana ya neno la kati!!
 
Duuu Sikujua aiseee, sema ww unatabia ya kuleta vistory nusu nusu ungeandalia hata Topic yake..?
HAhaha napenda kusimulia ila mvivu wa kuandika yani nikiwa naanza andika ninakuwa nina lengo la kuandika kila kitu hata pages saba lakini mood unakata gafla so najikuta naamua kusummalize.
Watu wasingekuwa wanahurumia bundle ningekuwa naweza sauti wanasikiliza.
Mfano story ya true crime investigation niliikata yani nilikuwa nina mengi ya kuandika juu yake ila uvivu tu.
 
Baadhi ya mashairi yake hata uwe na dictionary ya namna gani hutoboi!! Hapa wengi hutumia neno la mbele au la nyuma kubuni maana ya neno la kati!!
Uko sahihi mkuu sometimes inabidi usome paragraph nzima upate general meaning maana maneno mengine magumu kama ya prof lumumba
 
Mimi ni mwandishi mkubwa wa nyimbo kali hapa bongo mkuu.
Kwa wewe nitakuandikia kwa milion tatu kwa single moja na ngoma ita hit utapiga show za mchangani mpaka watu wanaichoka umetengeneza milion 50...
Hahaaa nakuona umehama kwenye maada
 
Baadhi ya mashairi yake hata uwe na dictionary ya namna gani hutoboi!! Hapa wengi hutumia neno la mbele au la nyuma kubuni maana ya neno la kati!!
HAHAHAHAHAHHAHAHAHHAA niwache!
so kambarage si ajabu alituibia tu ahahahahahhaa !
KALE KAZEE KWA FIKSI saa nyingine kalikuwa sio kamtu kazuri!
 
Uko sahihi mkuu sometimes inabidi usome paragraph nzima upate general meaning maana maneno mengine magumu kama ya prof lumumba
hapa mmenifanya niwaze !
mapebari wa venice!
ukiisoma merchant of venice ngumuuu!
no wonder na Kiswahili yake kambarage si ajabu alituunganishia tu!
 
Napenda sana hizi mambo ndo maana Jf intelligence nimeweka kambi ila now wamwagaji wa nondo hakuna..
HAhaha napenda kusimulia ila mvivu wa kuandika yani nikiwa naanza andika ninakuwa nina lengo la kuandika kila kitu hata pages saba lakini mood unakata gafla so najikuta naamua kusummalize.
Watu wasingekuwa wanahurumia bundle ningekuwa naweza sauti wanasikiliza.
Mfano story ya true crime investigation niliikata yani nilikuwa nina mengi ya kuandika juu yake ila uvivu tu.
 
Mimi ni mwandishi mkubwa wa nyimbo kali hapa bongo mkuu.
Kwa wewe nitakuandikia kwa milion tatu kwa single moja na ngoma ita hit utapiga show za mchangani mpaka watu wanaichoka umetengeneza milion 50...
Mchangani utaliwa nn....au utarudisha vigodoro mjin?
 
Romeo and Julieh nilielewa baada ya kuangalia movie!
kwa English hiyo ya maneno 66,000 HAKIII is ajabu hata hakuamaanisha mahaba ,si ajabu alimaanisha usiku na mchana!
 
hapa mmenifanya niwaze !
mapebari wa venice!
ukiisoma merchant of venice ngumuuu!
no wonder na Kiswahili yake kambarage si ajabu alituunganishia tu!
ahahahaha kwani ipo ya kiswahili sijawahi iona..
Ila vistory vinavutia
 
Nasiki Romeo & Julieth.. Ni siasa iliyokua imewekwa kimafumbo ni Nchi 2 tofauti ambazo zilitaka kuungana lakini kukawa na nchi 1 ambayo ilikua imeidominate nyingine ikawa inazuia huo muungano kwa nguvu zote....
 
Kuhusu uandishi tuulize tunaoandika riwaya ndiyo tunaweza kukudadavulia.

Mtu kufikia kuandika asichokuwa na elimu nacho si tatizo, utafiti anaoufanya kwenye kazi yake ndiyo bumpelekea aonekane mjuzi upande huo.

Hivyo Shakespeare kujua mambo mengi ni kutokana na utafiti anaoufanya kabla ya kuandika, kuuliza watu na hata kusoma baadhi ya maandiko ya kitaaluma nayo ni njia nzuri kwake ya kuandaa kitu kilicho bora.

Hivyo sababu iliyotajwa hapo na wasomi haina mashiko kabisa, si kwamba hakutunga.

Uandishi wa aina hiyo unakuta mtu anatafiti kitu nusu mwaka, unategemea akija kukitoa kilingane na yule anayekiburuza tu kichwani
 
umesahau kuwa alikuwa mmoja kati ya wale 40 walioshiriki kuandika "king james bible" na mmojawapo alikuwa mpenzi wake...shakespear alikuwa bwabwa
 
Hii sijaskia mkuu walijuaje kama ni shoga wakati historia ya maisha yake ni tatizo hadi haijulikani hata mwaka wake halisi kwa 100% alizaliwa lini.
Hata jina lake hilo Shakespeare spelling zake zina utata

Nilisoma mahali kuhusu hawa wahenga, wakina Shakespeare, Leonardo Da Vinci na wengineo, wanasema pamoja na kuwa maswaga lakini walijishirikisha kwenye secret societies ambazo zilikuwa against Church. Ni watu ambao waliufahamu ukweli lakini ilibidi wanyamaze tu, kwasababu miaka hiyo ukipingana na kanisa hukumu yako ni kifo. Lakini hawa watu walielezea kuhusu wanachofahamu na wanachofikiria kupitia kazi zao. Ni watambuzi wachache sana walijua maana halisi ya ujumbe uliowakilishwa kisanaa na watu hawa.
 
Back
Top Bottom