Mfalme Abdullah II wa Jordan amwaga darasa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye Bunge la Ulaya

Vikundi vinavyofunganama na is,yani dola ya kiislam kupitia mafundisho ya mudi.
Uislam na "mudi" tena?

Siyafahamu hayo mafundisho. Tuelimishe.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Uongozi wa "talawee" sijawahi kuusikia katika mafundisho ya Kiislaam, nielimishe.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Uongozi wa "talawee" sijawahi kuusikia katika mafundisho ya Kiislaam, nielimishe.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Talawee( taraweeh) si kikundi ama organization. Talawee ni sara( sunnah).
Inaanza na sara ya Insha na kumalizika na rakah kama 20 hivi.
So, huyo kiongozi anaeongeza hiyo sara(Taraweeh) ndiyo nimempa cheo cha talawee.
Baada ya S, Rashidie kuandika kile
Kitabu waislamu wakampa uongozi wa Talawee.
 
Subiri wanawake wa vatican watavyokupopoa mawe! Masupporter wa ushoga hao
 
Tatizo la wakristo wengi wao ni mbumbumbu sana na ndio Hilo kundi linajitahidi kuukataa ukweli huku wakinadi dini za mababu zao..

*...wamekwisha kufuru wale wasemao Mungu ni watatu... *

Kwa kumfanya Allah kuwa mwenye mwana.
Shida hamuelewi mnakurupuka......... Acheni kutujazia nafasi kwenye mabanda ya nguruwe
 
Hakuna vyeo hivyo unavyofikiria wewe Kiislaam. Unajidanganya.

Aneongoza sala Kiislam anaitwa Imam, haijalishi sala ipi. Sasa sifahamu kwanini ujpachikie vyeo ambavyo havipo jatika Uislam? Unachofanya ni kejeli au kebehi kwa Waislam?

Nakushauri kitu usichokijuwa katika Uislam kiulize. Au wewe ni wale dini mpya ya kishetani, Lgbtq?


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Smiles , you know the truth.
You're just looking for a strong force to free you from this dilemma.
 
Smiles , you know the truth.
You're just looking for a strong force to free you from this dilemma.
I am simply a realist not a mind reader. I can never ever read your mind or even try to.

Kuislam inaitwa dhana" na dhana Kiislam bu dhambi. Natumai umenielewa.


Kama una kitu kipo mawazoni mwako, kuwa muwazi tu, kwanini utake jutuingiza kwenye dhambi?


Video clip ya chini hapo ni Waislaam wakiwa Makkah jana πŸ‘‡πŸΎ inapendeza sana.

Your browser is not able to display this video.



Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Hapa nikiwa na Peter Obi ndani ya Natisha town.
Au mnasemaje masela? Tuuze nchi tugawane mahela!!. 😊😊
 

Attachments

  • 20230619_205535.jpg
    83.4 KB · Views: 1
Hapa nikiwa na Peter Obi ndani ya Natisha town.
Au mnasemaje masela? Tuuze nchi tugawane mahela!!. 😊😊
Kama una uwezo huo uza na wala hatuna haja ya kugawana. Zifakamie wewe tu.

Mbona mmekaa "kihasara hasara" wanaume wawili? Tafadhali usitutie dhambi za dhanna. Kama wewe ni lgbtq funguka tu.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Lile liwaziri lililoambatana na Ramaphosa Ukraine, porand walipozuia convey yao kwasababu ya ndege yao kuwa na silaha na baadhi yao kutokuwa na genuine documents likakimbilia kusema mnatubagua kwasababu tumetoka Africa.
Bure kabisa!!
Poland iliwahi kutoa kauli ya kushinikiza nchi za Africa kuitenga Urusi, huenda waafrica hawajasahau hili.
 
Haya bana Hapa Tz nini maana ya kuwa muislamu ktk bunge letu. DP wamepita. Kuna UJINGA ambao hautawaondika kamwe.
 
Akawaambie huko kwa kina IS na mashabiki wa ponda wenye akili zilizopinda, na bibi kidude humu wa enzi za Jk . Saiv anaimba mapambio " mama yupo kazini"
 
Uislamu siyo dini ya kwanza Afrika ludi shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…