Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

Hapo kuna liarabu nadhani lilimpanga ili ainue kaswida iwe kama nyimbo za injili akashindwa kufikia lengo akatoswa akaiona isiwe shida narudi home. Haha hahaaaa!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unafiki ww.. mzee yusuf aliacha mziki kwa imani yake na kinachomrudisha ni njaa zake... huyo mwarabu aliemwambia kaswida zinalipa aache kuimba taarab tukikuuliza ni nani utatuthibitishia? Kaswida watu wanaimba kwa mapenzi tu na sio kipato... tofauti na gospel music. Leo hii nikikuuliza ww unamjua hata msaniii mmoja wa kaswida jibu sidhani kama utanipa..
 
Itakuwa mungu wako yule aliening'inizwa pale msalabani na wanadamu aliewaumba mwenyewe mana si kashfa hizo, huyo uliemwita mwamedi anaingiaje apo na mzee yusuf kurudi kwenye game?
Wewe Bwege nazi hujui? ni hivi; Waliotoa kile kichapo wote walitupiwa ma-Shetani, walikuwa siyo wao, Mungu wa msalabani alijua siyo wao! aliwasamehe! mpaka leo wako huru!

ilivotokea ni sawa na ma-shekhe wa leo wanaoongoza misikiti kwa nguvu za mashetani, mfano; Yahaya, wanafuga mashetani, wanawatupia wapita njia wakorofi, kuiba nyota za watu, chuma ulete!, ulinzi, kutandika waumini wanao kwenda kinyume na misimamo yao, ushoga nk,

Gwajima kayakemea kwa waumini wee!! kachoka! akagundua chanzo! ni shek.Yahaya akamwonya kwa masharti ya jina la yule yule wa Msalabani kwamba;
I, Atubu apone au
2. Aendelee Afe! .. yuko wapi leo! siyo maneno yangu ni ya Gwajima Mfuasi wa Yesu! na clip zipo!

aaa! hivi Mwamedi anawafanyagaje? mbona mnakuwaga na hasira, akitajwa! kupasua PC ni rahisi!!!
 
Acha kutolea mfano kujichua na mambo ya kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa mungu wako yule aliening'inizwa pale msalabani na wanadamu aliewaumba mwenyewe mana si kashfa hizo, huyo uliemwita mwamedi anaingiaje apo na mzee yusuf kurudi kwenye game?
sasa si mfuasi wa mwamedii
 
Sio kweli,hana njaaa kama watanganyika wengi...ananiliki vitega uchumi hapo Taliani chanika,uliza wenyeji,haimbi taarabu ataimba qaswida.
 
Mpunga wote katoa swadaka na kwenda kuhiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli,hana njaaa kama watanganyika wengi...ananiliki vitega uchumi hapo Taliani chanika,uliza wenyeji,haimbi taarabu ataimba qaswida.
Hana njaa vipi mkuu!! Wakati watoto wake sasa wanasoma KAYUMBA FC, toka kwenye English medium? biashara nyingi zimekufa /amedhurumiwa, kwa kufanya biashara ki shikaji!! Nyumba yake ya mbagala imeuzwa na bank, hata hiyo ya chanika, ni mwache mwache!!! Lolote laweza tokea, kifupi jamaa ameyumba sana kiuchumi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…