future lawyer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 419
- 423
Kudos kwako , najivunia watu kama wewe . This fucking religious zimekuja kutuharibia maisha yetu.Mungu hayupo, narudia, Mungu hayupo. Ni upuuzi ulioletwa na wagni kwa maslahi ya kutupumbaza.... watutawale na kweli wameweza!
Nahisi ataimba singeli pia, atakuwa anafuata upepo wa soko, ukumbuki aliimba Vanessa?Too later sahizi tupo na singeli taarab ilizikwa
Ni sawa unayosema ila unakumbuka aliuitaje huo mziki? Hadi akakataza watu wasipige kwenye vituo vya redio na tv! Kwamba watakuwa wanazidi kumkosea Allah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi, kwani kuacha ya duniani, ni kuacha muziki?Mungu hadhihakiwi kabisa. Ukisema umeacha ya duniani naye anakuondolea yote uliyopata duniani ili uanze na MUNGU upya.
Sasa jombaa kaona hali si hali arudi mule mule.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaKulikua na haja gani ya kusema unaacha muziki wa kidunia na unamrudia muumba, hlf sasa hv unasema unarudi mjini. Kwani kwa Mungu ulikokua umeenda ni kijijini?
Akili kidogoo na Ujinga robota
Yaani aliacha muziki wa kidunia kwasababu ya kumwabudu Allah
Akirejea ujue huko Misikitini hamna kitu.Siamini nilimuona pale magomeni kwa shekhe Sharifu Imani imejaa Sana sidhani km atareje
Mimi nasikiliza za Marehemu Issa Matona za enzi zileehivi mwanaume unaanzaje kuimba au kusikiliza taarabu?