stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
Kama malaika waliacha miili na kukimbia kwanini kipindi hiki hawavai tena miili na kuja kulala na binadamu?nilisoma kitu kama hicho mahali fulani, kwamba baada ya malaika kujifanyia mwili wa kibinadamu na kulala na wanawake matokeo ndio hayo majitu....na kile kitabu kilieleza kuwa gharika ilipokuja iliangamiza wote japo malaika waliacha mwili na kuondoka,
Leo nimepata kitu kingine hapa,
Ila kuna hoja moja hapo juu kuhusu mfalme OG kwamba alishikiria boti ya nuhu sijaielewa vizuri.
walikua ni malaika walio hasi na kuwa watumwa washetani na bila shaka hata kizazi cha leo hayo mambo yapo....kuna watu wanazaa na majini/mapepo.Kama malaika waliacha miili na kukimbia kwanini kipindi hiki hawavai tena miili na kuja kulala na binadamu?
Au binadamu wa sasa hawawavutii
Maana yake ni kwamba, wakati malaika wanalala na binadamu, watoto walozaliwa walikuwa wa kike na kiume.Hatujaambiwa walikuwa jinsia gani so huenda kulikuwa na wanefili wa kiume na wakike. Ila uzao wao upo mfano huyu mfalme ogu alikuwa anatawala MAJIJI 60 kwenye himaya ya jamii yake ikimaanisha aliweza kuwa na uzao ingawa hatujaelezwa huyo mke wake alikuwa wa aina gani kma naye ni alikua mnefili ama lah ila kwa kujibu swali lako tuamini tu kuwa kulikuwa na wanawake wanefili pia hivyo walilala nao hao hao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii chimvi imepitiliza!
Huyu hawezi hata kuinua mfuko wa simenti.zitto junior. Kuna vitu tumefichwa lakini ukweli ni kuwa Mungu alimuumba mwanadamu kukiwa kuna maisha ya viumbe kama binadamu tayali.
Na sijui kwanini Mungu aliamua kutupunguzia maisha wakati viumbe wake waliotutangulia ndio wametufanya tuingie katika majaribu ya kutuhadaa
Ushahidi wa viumbe waliokuwepo kwa mjibu wa Biblia
5 kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.
Mwanzo 3 :5
Hapa Mungu anatufananisha na viumbe waliotangulia hapa kuna kitu ukitafakari unapata jibu la kuwepo maisha yaliyoendelea
3 Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.
Mwanzo 6 :3
Kwanini Mungu atupunguzie umri ili hali yeye ndiye katuumbia vitu vya kutupotosha?
Kwanini Mungu asingetupeleka sayari nyingine tuanze maisha yetu yasiyo na mchanganyiko wowote?
Kwanini Mungu asinge tupeleka hata kwenye nyota (jua) proxima century mbali na hapa tukawa mbali na wanefili?
Maana wanefili bado wanaishi ila Mungu kawapunguzia uwezo wa nguvu lakini ndiyo jamii zenye ushawishi na nguvu kiuchumi kuindesha Dunia ndio wazungu wenye macho njano.
Kwa picha hii ni uthibitisho tosha kuwa wapo ila hawana nguvu za mwili ila wamebaki kiakili
Mkuu kwanini hao wana wa mungu hawaji tena kwenye zama hizi kuzaa na binadamu?Hakuna malaika maana biblia inatuambia walikuwepo wana wa Mungu
Soma hapo chini
2 wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
Mwanzo 6 :2
4 Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile;tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za binadamu,wakazaa nao wana;hao ndiyo waliokuwa watu hodari zamani ,watu wenye sifa.
Mwanzo 6 :4
Hakuna malaika maana biblia inatuambia walikuwepo wana wa Mungu
Soma hapo chini
2 wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
Mwanzo 6 :2
4 Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile;tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za binadamu,wakazaa nao wana;hao ndiyo waliokuwa watu hodari zamani ,watu wenye sifa.
Mwanzo 6 :4
Asante Sanaa nimesogea karibu
Fikiria linakugegeda itakuwaje na mty mwenyewe umezoea kibamia[emoji125][emoji125][emoji125][emoji3][emoji3][emoji3]Siku wakifufuka sisi watatuona kama sisimizi