Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

Hii nadharia umesema ndiyo yenye mashiko,sijaelewa ina mashiko kwa nani,kama ni kwako ni sawa...

Kwangu mimi nadharia hii naiona haina mashiko kabisa mkuu.Nasema hivi kwasababu zifuatazo..

1;Suala la yeye "kupewa kazi ya kuiangalia safina ili isigngane na mawe"ni nadharia ya kuchekesha sana maana unataka kumfanya Mungu kama asiyejiweza na kuelewa alilokuwa anafanya.Kwanza ni mawe gani hayo? Maana maji yalifunika milima yote,kuna jiwe kubwa zaidi ya mlima Kilimanjaro kwa mfano?Lakini unapaswa tu uelewe kwamba suala zima la gharika ni suala lilisimamiwa na Mungu,sijuwi kama unaelewa ni nini maana ya Mungu kwa ujumla wake.....

2;Unadaio kuwa "kwa akili ya kawaida dunia nzima izame halafu wewe pekee uwe kwenye boti,hivi waliokufa watakuacha kweli?",yaani hiki nacho ni kichekesho kingine mkuu. Kwanza safina siyo boti,pili safina ilijengwa kwa namna ya ajabu na kwa maelekezo ya Mungu mwenyewe unadhani unaweza ivunja? Kwa kutumia nini? Halafu ukiwa kwenye maji huku ukipigania uhai wako? Are you serious?

Mungu aliwajuwa hao majitu vizuri sana na kwakuwa yeye aliisimamia "shoo"haya unayofikiria ni kama kitu cha kuchekesha sana kwake...

Hii nadharia yako haina mashiko kabisa hata kiduchu....

Hii nadharia inajaribu kuelezea namna kizazi cha Wanefili kilivyokuja kupatikana baadaye,baada ya gharika.Inawezekana au isiwezekane ukizingatia sababu kuu ya gharika ni hao hao Wanefili na sidhani kama Mungu angeruhusu ikawa hivi japokuwa inaweza ikawezekana pia...

Hii nadhara nayo haifai kabisa.Hii nadharia inataka kumfanya Mungu asiwe Mungu kabisa maana kama tu mtu anaweza kupanda kwenye mlima halafu Mungu atake kumuua na ishindikane kwasababu kapanda kwenye mlima huyo siyo Mungu ni kitu kingine kabisa...

Inawezekana lakini swali kubwa ni namna ilivyowezekana....

Wanefili wa kabla ya gharika walifikia futi 30 hivyo huyu OGu unayemsema hapa sijaona uajabu wake.Ninachokielewa ni kwamba Wanefili wa baada ya gharika walikuwa na urefu wa futi 10 hadi 18 hivyo walikuwa wadogo kiumbo kuliko wale wa kipindi kile cha kabla ya gharika....

Majengo ya kustaajabisha hayapatikani mashariki ya kati pekee mkuu,yapo dunia nzima kuanzia Puma Punku kule Bolivia hadi Urusi mpaka kwenye kisiwa cha Sardinia kule Italy ambapo baadhi ya watafiti wanasema kwamba inawezekana ilikuwa ni moja ya ground Zero ya Wanefili wa kabla yagharika maana walishafukua mabaki makubwa sana ya hawa Wanefili.Moja ya fuvu lililowashangaza ni lile ambalo waliweza kuingiza kwenye eye socket ylile fuvu,ule upanga refu wenye makali kila upande,upanga maarufu wa vitani na ulizama wote na ulipogota kisogoni sehemu pekee iliyobakia nje ni ile sehemu ya kushikia tu...

Unaweza tu kufikiria lilikuwa ni fuvu kubwa kwa kiwango gani...

Mabaki ya majitu haya yenye urefu wa zaidi ya futi 25 yamefukuliwa maeneo mengi sana America ya kusini,kaskazini,Africa,Ulaya na Asia hivyo huyo unayemsema hakuwa peke yake labda baada ya gharika kama ulivyoelezea hapo juu kwasababu baada ya gharika Wanefili walikuwa wadogo kiumbo...

Sijaelewa ulichotaka kutuambia ila naamini ulitaka kutuambia kitu flani muhimu,lakini pia ungelijaribu kutupa na wew ushahidi wako ikibidi na baadhi ya nukuu ili twende sawa kuhusu kusalia kwa mtu huyo au kufa kwa mtu huyo wakati wa garika maana nukuu nyingi sana zinaonesha uwezekano wa Ogu kusalia na tayari watu wengi wamechangia hapa na nukuu zao kutoka vitabu tofauti tofauti

Lakini pia naomba nikuulize swali moja Hope utatusaidia

Nuhu aliwezaje kujenga safina ile kubwa peke yake? Na aliwezaje kupata mbao au miti mingi vile kujengea na aliitoa wapi ikiwa sehemu alikokuwa akiijengea kulikuwa ukanda wa jangwa?
 
Mkuu Eiyer habari za siku.... Umepotea sana jukwaani ila nmefurahi sana umeweza kuja na kutupa elimu adimu kama kawaida yako great thinker

Nkirudi kwenye mada...kwa kuzingatia objections zako za ''kisomi'' nina maswali kadhaa naomba utujuze

1. Je wanefili waliwezaje kurudi baada ya gharika if at all waliangamizwa wote kwenye gharika?? Na biblia iko wazi kuwa wale malaika walifungwa kuzimu kusubiri hukumu siku ya mwisho je hiyo bloodline yao iliponaje gharika sasa ambapo tukikataa ogu alisalimika.

2. Hoja ya kusema Mungu alisimamia gharika hivo basi hakuna mnefili ambaye angepona sababu Mungu alishadhamiria..... Mbona wakati ukuta wa yeriko unaangushwa yule malaya alisalimika kwa Mungu kuacha nyumba yake pekee je haiwezi kuwa case kwa Nuhu ukizingatia alimsaidia kwenye ujenzi hasa kufuata miti iliyotumika kwenye ujenzi haikuwa ikipatikana mashariki ya kati na vilevile ukubwa ule wa meli usingeweza kuwa assembled na binadamu wa kawaida kwa teknolojia ya enzi hizo ila huyu ogu alikuwa msaidizi mkubwa je haiwezi kuwa sababu ya Mungu kumpa neema yake asife kwenye gharika kma alivompa yule malaya wa yeriko??

3. Je Hawa wanefili waliishia wapi mkuu.... Kuna mmoja hapa katoa hoja kuwa damu yao bado ipo na kuna viongozi wakubwa wa dunia hii wana damu za kinefili je kuna ukweli hapa au conspirancy?? Na kma sio kweli je hawa wanefili waliishia wapi mbona leo hii hatuoni majitu ya size hiyo??

Ni hayo tu kwa sasa

Cc: Malcom Lumumba Kudo900
 
Mkuu umeuliza maswali makini sana ngoja tusubiri majibu
 
Mie natoa Likes tu nakusoma
 
Mkuu kitabu gani umesoma kupata hicho unachokiandika nami nikitafute ili twende sambamba coz nahic km unanivuruga hivi.

Eti Mungu alimwamurisha shetani amuhesimu Adamu? Fafanua

Na ni ufisadi gani waliufanya hao majini mpk kupewa adhabu ya kuishi majini si kwingineko

Mwanzoni ulisema majini na binadamu ni ndugu mbona hapo tyr unaonekana uadui?

Na je unaweza kuniambia kiuhalisia muonekano wa shetani kiumbe alieumbwa kwa moto kwa mujibu maelezo yako?
Vitabu vyao vya kutunga kwe mapango hivyo,eti jamaa alitaka kuinua mlima awatupie waisraeli wafe wote,
Mlima huwa huwa umejishika km jiwe kiasi uinuliwe bila kusambaa,halafu fikiria ukubwa wa kiganja cha mkono cha kutosha kubeba udongo unaotosha kuwaua waisraeli wote zama zile,ina maana mtu huyu alikuwa mkubwa hata Mara kumi ya mlima,
Shame
 
Mkuu umesoma biblia kasome hesabu na kumbukumbu la torati bila kusahau Joshua utakuta stori kamili ya hawa WAREFAI kma hawakufanya hya nliohadithia hapa.... Ni vzuri tujifunze kupenda kujifunza kuliko kuingia na spirit ya kupinga kila kitu hautoingiza kitu kipya hta siku moja

Kingine hapa tunashare knowledge hakuna haja ya kuanza kukashifu dini zingine sijui za mapangoni n.k hiyo haikuwa nia ya uzi huu.... Hapa tunashare maarifa whether iwe ya kipagani kiislam kiyahudi kikristo kinadharia n.k tunazipokea na kujadili ssa kwanni huyo uone ameandika pumba ilihali ndio mtazamo wake au imani yake!!

Embu tujikite kwenye mada mipasho tuachie MMU... Samahani kma nimekukera lakni
 
Sijaelewa ulichotaka kutuambia ila naamini ulitaka kutuambia kitu flani muhimu,lakini pia ungelijaribu kutupa na wew ushahidi wako ikibidi na baadhi ya nukuu ili twende sawa kuhusu kusalia kwa mtu huyo au kufa kwa mtu huyo wakati wa garika maana nukuu nyingi sana zinaonesha uwezekano wa Ogu kusalia na tayari watu wengi wamechangia hapa na nukuu zao kutoka vitabu tofauti tofauti

Lakini pia naomba nikuulize swali moja Hope utatusaidia

Nuhu aliwezaje kujenga safina ile kubwa peke yake? Na aliwezaje kupata mbao au miti mingi vile kujengea na aliitoa wapi ikiwa sehemu alikokuwa akiijengea kulikuwa ukanda wa jangwa?

Nadhani kukusanya wanyama ni Ajabu kuliko kukata Miti.!? Au nakosea ndugu
 
Mungu aliposema siku za mwanadamu zitakuwa miaka 120. kwa maana nyingine ninavyofahamu ilichukua miaka 120 hadi gharika. sioni shida kujenga safina ndani ya kipindi chote hicho hata kama ni mtu mmoja japo nadhani nuhu alipata wasaidizi.
maoni.
cc Kudo900
 
Hawa wasaidizi hasa ndio tuliowengi tunatamani kujua walikuwa ni wapi hasa lakini kubwa zaidi nadhani ni uimara wa safina ile na
Nadhani kukusanya wanyama ni Ajabu kuliko kukata Miti.!? Au nakosea ndugu

Yes hata hilo pia lakini tayari tulishalijadili huko nyuma na baadhi ya threads kama mbili hivi alizoziweka Zito kabla ya hii
 
Mkuu umesoma biblia kasome hesabu na kumbukumbu la torati bila kusahau Joshua utakuta stori kamili ya hawa WAREFAI kma hawakufanya hya nliohadithia hapa.... Ni vzuri tujifunze kupenda kujifunza kuliko kuingia na spirit ya kupinga kila kitu hautoingiza kitu kipya hta siku moja

Kingine hapa tunashare knowledge hakuna haja ya kuanza kukashifu dini zingine sijui za mapangoni n.k hiyo haikuwa nia ya uzi huu.... Hapa tunashare maarifa whether iwe ya kipagani kiislam kiyahudi kikristo kinadharia n.k tunazipokea na kujadili ssa kwanni huyo uone ameandika pumba ilihali ndio mtazamo wake au imani yake!!

Embu tujikite kwenye mada mipasho tuachie MMU... Samahani kma nimekukera lakni
Acha bla bla na kusingizia biblia,unadhani biblia umesoma peke yako,unakuuuza mambo kwa habari za kuokoteza okoteza halafu unaisingizia biblia,hakuna kitabu ktk biblia kinaelezea hadithi yako ya kutunga,
Ukinipa mstari ktk vitabu ulivyotaja unaosema huyo OG alitaka kuinua mlima awa uwe waisraeli wote najitoa humu,umekoleza habari yako hadi umeiondolea maana ww mwenyewe,Mara safina ilitua pale pale ilipotoka,wakati biblia inaelezea kabisa ilipotoka na hata vilima ilivyotua,
 
Chief umeelekezwa vizuri sana tena Sana na watu wengi sana wamekoment hapa na ushahidi wao wenye kuleta kujifunza mapya na tusioyajua,ni aibu kutunisha misuli kwa Simba alieshiba ikiwa wewe una njaa ya kiu na chakula.

Inaonesha huna ukijuacho kabisa na hujahangaika kusoma maoni ya watu au ya Zitto junior mwenyewe kuanzia mwanzo lakini pia hajasema tufuate alichosema ila ametaka tujifunze wote na tumfunze pia asioyajua kuhusu Ogu.

Ogu kaongelewa vitabu vingi sana tena sana na ninashangaa wewe unaejua biblia umeshindwa walau kujua maajabu yalioongelewa ya mfalme Ogu.

Ogu ametajwa hata kwenye vitabu visivyo vya kidini na umbo lake kubwa,lakini ni jamii za wanefili zilizokuwa na watu kama yeye na wengineo ambao hawakupata kuwa Maarufu enzi hizo.

Acha kuleta mbwembwe za kunya juu ya chupa ikiwa hujui kimo na upana wa mdomo wa chupa.

Huna unalolijua Chief japo sikujui vyema ila kwa maandiko tu yawezekana nyie ndo wale mnaotembea na kalamu siku ya ibada kisha mnachora mistari kwenye Bible baada ya kusomewa vifungu na wachungaji afu unatoka kifua mbele bila kuelewa mistari hiyo na maana zake.

Kasome ulipoelekezwa na Zitto unaeza kuja na jipya na sisi tukajifunza kuliko kukomenti kwa mihemko utadhani wote uliotukuta tunajadili hii mada hatujui tunachojadili au kama unavyosema biblia

Kasome
 
Acha bla bla na kusingizia biblia,unadhani biblia umesoma peke yako,unakuuuza mambo kwa habari za kuokoteza okoteza halafu unaisingizia biblia,hakuna kitabu ktk biblia kinaelezea hadithi yako ya kutunga,
Ukinipa mstari ktk vitabu ulivyotaja unaosema huyo OG alitaka kuinua mlima awa uwe waisraeli wote najitoa humu,umekoleza habari yako hadi umeiondolea maana ww mwenyewe,Mara safina ilitua pale pale ilipotoka,wakati biblia inaelezea kabisa ilipotoka na hata vilima ilivyotua,
Mkuu ili kujifunza lazima upanue ufahamu kwa kutafiti huko na huko hakuna story inayoweza kuwa kamili kwa kutumia chanzo kimoja tu kuna visa biblia haiviongelei hivyo ni lazima uvikute nje ya biblia ili story iweze kuwa moja

Sielewi kwanni tunapenda kuamini kitabu kimoja ndio sawa kuliko kingine hyo ya safina kutokwenda mbali na ilipoondokea ipo kwenye vitabu vya waisraeli wenyewe hata ya kunyanyua mlima ipo kwenye vitabu vya kiyahudi ambavyo wanatumia kusalishana kila siku ssa iweje mtanzania ukatae kitu ambacho waisrael wenyewe wanakubali? Kwanni tunalazimisha kuwa chochote kisicho kwenye biblia ni uongo

Embu tupende kujifunza kitu kipya tusiingize mahaba ya dini kwenye kila kitu
 
Vitabu vyao vya kutunga kwe mapango hivyo,eti jamaa alitaka kuinua mlima awatupie waisraeli wafe wote,
Mlima huwa huwa umejishika km jiwe kiasi uinuliwe bila kusambaa,halafu fikiria ukubwa wa kiganja cha mkono cha kutosha kubeba udongo unaotosha kuwaua waisraeli wote zama zile,ina maana mtu huyu alikuwa mkubwa hata Mara kumi ya mlima,
Shame
Shida yako mkuu unapinga tu bila kusoma!! Sasa sijui unataka kubishana na nabii amos

Amos 2:9
9 Lakini nalimwangamiza Mwamori mbele yao, ambaye urefu wake ulikuwa kama urefu wa mierezi, tena alikuwa na nguvu kama mialoni; lakini naliyaangamiza matunda yake toka juu, na mizizi yake toka chini.

Mierezi kwa kiingereza ni CEDAR tree haya tusome kidogo kuhusu ukubwa wa mti huu

fc05176eb769c39e1eabd92042a3f803.jpg

Cedar trees are large, evergreen trees of the family Cupressaceae. Cedar trees will usually grow to a height of up to FIFTY FEET, but others can reach one hundred or more feet in height.

Pia tunaambiwa na BIBLIA kuwa alikuwa na nguvu kma mierezi ambayo ilikuwa pia ni miti migumu zaidi huko mashariki ya kati na mbao ngumu kabisa na ndio maana hta waandishi wa biblia wanauzungumzia sana kwenye mifano yao

Zaburi 92:12
,
"Wenye haki watastawi kama mtende]], watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni".

Sasa kama biblia inamuelezea mtu huyu kwa staili hii iweje wwe upinge kma ana uwezo wa kuwa mrefu kuliko mlima ama anauwezo wa kunyanyua mlima ama nguvu za kubeba mlima hata kma sio wote unapinga kwa minajili ipi??? Mbona biblia inaprove kuwa alikuwa na nguvu za ajabu??
 
Back
Top Bottom