Mfalme Suleiman (970-931BCE) ndie tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani

Mfalme Suleiman (970-931BCE) ndie tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
1449686375098.jpg1449686385079.jpg Alikuwa na utajiri unaokadiriwa kufikia dollar za kimarekani trillion 2.1
 
Mh........

Endelea kidogo basi.


Utajiri wake ulikua ktk mambo gani. Vito vya thamani fedha au nini hasa...
 
dini na sayansi/history are two different things,ya mungu mpe mungu na ya kaisar mpe kaisar.katika world book of record ni mansa mussa na katika dini ni solomon

Aliitawala kati ya mwaka 1312-1337 na utajiri wake ulikadiriwa kufikia USD billion 400
 
kama kwa wanawake sawa,ila katika world record mansa kankan mussa wa mali ndio mwanadam aliyewahi kutokea duniani kuwa tajiri sana kuliko wote na hakuna mpaka sasa aliyewahi kuvunja record yake.google mkuu

Mkuu Mansa Kankan Mussa ni tajiri wa kwanza katika kipindi cha baada ya Yesu. Wenyewe wanaita Anno Domino (AD)

Kabla ya hapo inawezekana kweli Mfalme Suleiman akashika rekodi hiyo
 
Back
Top Bottom