Basaja balaba
Member
- Mar 10, 2025
- 5
- 0
Katika kusoma kwangu mfalme Suleiman ni tajir wakwanza kuwepo na hakuna atakae kuja kuwepo kama yeye. Maneno ya Biblia kitabu kitakatifu.
Kwanin nasema ivo ukizungumzia utajir kwanza katika akili yako unaelewa nin?
Huyu mwamba alikuwa tajir in full kuanzia kuumbwa, hadi kila kitu
Kuna kile kisa cha wanawake wawili walio kuwa wakigombania mtoto then kesi ikafikishwa kwake kama mfalme ipate utatuzi na akaitatua. Huo pia ni utajir
Lakin katika yote nilipata kuelewa Mungu ni mwema sana anaweza akakupa kila kitu lakin bado ukaaribu huku ukijuwa ni kipi ni chukizo kwake. Huyu jamaa na utajir wote alizinguwa sana # TU ELEWE KWANZA MAANA YA UTAJIR NI NINI KABLA YA YOTE