Mfalme Suleiman (970-931BCE) ndie tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani

Mfalme Suleiman (970-931BCE) ndie tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani

Nasikia alikuwa anaongea Na majini Na aliwafanya Kama wafanyakazi wake Na ndio waliochimba mahandaki ya Kandahar ambayo Ni ya ajabu kwa njia zake
hizo hadithi za kwenye kitabu chenu kilichoshushwa na shetani wakati mtume akikunya. Ila kwa mujibu wa Kitabu cha Wayahudi na Wakristo (Talmund na Bible) Sulemani alikuwa Mfalme aliyeckubaliwa na Mungu, akapewa na Hekima na alikuwa na watumishi wa kutosha. hakuwa akiongea na kuwatumia majini. Majini yanatumika katika ile dini ya watani wetu wa mama mdogo.
 
hizo hadithi za kwenye kitabu chenu kilichoshushwa na shetani wakati mtume akikunya. Ila kwa mujibu wa Kitabu cha Wayahudi na Wakristo (Talmund na Bible) Sulemani alikuwa Mfalme aliyeckubaliwa na Mungu, akapewa na Hekima na alikuwa na watumishi wa kutosha. hakuwa akiongea na kuwatumia majini. Majini yanatumika katika ile dini ya watani wetu wa mama mdogo.
Msiwe watu wa kujitoa fahamu na kitabu chenu kilichonyofolewa kurasa ili kufanya majini hayapo duniani.
Kwa taarifa yako yale mapango ya kandahari yamechimbwa lakini si kwa uwezo wa binadamu.
na kuna mapicha fulani ya irak yanaonyesha mazege makubwa ambayo kizazi cha leo unajiuliza waliyabebaje?
 
Zamani nilikua namchanganya king solomon wa israel kingdom na king Suleiman The magnificent wa Ottoman empire,kumbe watu wawili tofauti,

cheki hii barua ya king suleiman the great kwenda kwa king fransis wa ufaransa,


I sultan of sultan,king of kings,the shadow of God who bestow the crown to the monarch on earth,the supreme ruler of mediterrenian and black sea,balkan ana Anatolia,Azerbanjain,Damuscus and Allepo,egypt,mecca and medina,Jerusalem and all the arab dominion,an yemen,and the sultan and the supreme king of many nations.

Iam the son of sultan selim khan and the grandson of sultan Bayezid khan AND YOU KING FRANSIS,are the governer of the french province.




Hiyo ndo mikwara ya king suleiman The great
Kwa mikwara hiyo lazima usande
 
Msiwe watu wa kujitoa fahamu na kitabu chenu kilichonyofolewa kurasa ili kufanya majini hayapo duniani.
Kwa taarifa yako yale mapango ya kandahari yamechimbwa lakini si kwa uwezo wa binadamu.
na kuna mapicha fulani ya irak yanaonyesha mazege makubwa ambayo kizazi cha leo unajiuliza waliyabebaje?
Majini ni mapepo machafu, nyie endeleni kuvitumikia. Kwani leo magorofa yanajengwaje unaposhanga zege la Enzi za dola ya Babiloni. Maendeleo hayakuanza leo.
 
waulize w
wadau wako hajawajui hiyo miaka inavyohesabiwa. inawezekana hata wewe mwenyewe imekupiga chenga. BC tunahesabu miaka kwa kuyapunguza kuja kwa Kristo na AD tunayaongeza kota kwa Kristo. Umetuchanganya wadau wako. Posibility wewe mwenyewe umejichanhganya.
 
nani kakudanganya?,
solomoni alikuwa chief wa kawaida tu,huo utajiri unausema hakuwa nao,ni hekaya tu,
kipindi hicho asyrian empire ndo walikuwa habari ya mjini huko,
na pia egypt empire
naona mkuu unabisha pasipo kutoa evidence
 
naona mkuu unabisha pasipo kutoa evidence
utakuwa ulichukua PGM Mkuu,kwani huwezi ukafuatilia history ukapata jibu mwenyewe?,
hakujawahi kuwa na mfalme mkuu na mwenye nguvu eneo hilo alieitwa solomon,
watawala wenye nguvu enzi hizo wapo kwenye history,akina Nebukednezar,cyrus,suleiman the great,julius caesar etc.
Empire za eneo hilo zinafahamika,mesopotamia,egpty,persia,merdeze,rumi,asyria,aram etc,
suleiman anaesemwa hapa ni finctional
 
David and Solomon are two of the towering figures of the Hebrew texts. During a time of strife, such inspiring symbols of Hebrew unity were written about in order to bring together Israel and Judea under a single new rulership, based in Jerusalem. The central characters in these nationalistic stories had to be both commanders of armies and builders of great nations, so that the present generation could follow their example, and work for the good of the fledging state. With this aim in mind, the stories written about David and Solomon did not disappoint - well, not until archaeologists went in search of the evidence of their great empires.
“Yet there is no mention of either king in Egyptian or Mesopotamian texts. No physical evidence has been found for David's conquests or his empire. Archaeological support for Solomon's great temple in Jerusalem or other building projects there and in other locales is nonexistent. At a recent meeting in Rome, archaeologist Niels Peter Lemche declared, "Archaeological data have now definitely confirmed that the empire of David and Solomon never existed. [...] Almost certainly, the Jewish kingdom was far more modest than described in the Bible, and the events surrounding David are probably as mythological as those of the lives of Abraham, Moses, and Jesus. [...]
Some [of those who state that most stories in the Bible are true] have argued that the remains of Solomon's temple and other signs of a Golden Age in Jerusalem have been wiped out by later building projects. However, the extensive excavations carried on in Jerusalem in modern times have yielded impressive finds from much earlier periods such as the Middle Bronze Age and Iron Age."”
Prof. Victor J. Stenger (2007)

Did King David and Solomon Exist? The Puzzle of the Missing Empire. By Vexen Crabtree.
 
naombeni kuuliza jaman. nabii seleman alikuwa mwarabu au
 
If Solomon and David were myth so is Jesus and Issa thus nullifying all Ibrahamic holy texts.
 
Back
Top Bottom