Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Lumia, sio uchumi wa Misri tu bali wa dunia ilokua inajulikana wakati huo ulidorora maana ulitegemea dhahabu km fedha wakijua ndo adimu afu Mansa Mussa akafurisha soko kwa kuzigawa.Plus..according tu wana history.. Mansa Musa mfalme wa Mali empire... Ndio Binadamu alie wahi kuwa tajir Dunia nzima mpaka leo hamna mtu alie wahi fikia Utajir wake..
Wakati anaenda hiji macca alipitia misri .. Na kusabisha uchumi wao kuyumba kutokana na dhahabu alizo tumia.. Pale misri...
Google tu wealthiest persw to ever live on the earth utapata maelezo zaid.
So general sawa mfalme suleiman alikuwa tajir but kuna wengine walio wahi kuwa matajir zaid yake!
*Lumina out!*
Akirejea toka hija akaambiwa na 'wachumi' wake kua amefurisha 'pesa' sokoni so kumeyumba huko duniani biashara hazieleweki. Akaamua kuzinunua upya hizo dhahabu ili kuimarisha mzunguko wa fedha sokoni.
Talk about Global fiscal and monetary policies in the raw way!! Na Mansa Mussa kama IMF au WB japo kwa mda mfupi.