Mfalme Suleiman (970-931BCE) ndie tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani

1449731622596-jpg.310162
 
kama kwa wanawake sawa,ila katika world record mansa kankan mussa wa mali ndio mwanadam aliyewahi kutokea duniani kuwa tajiri sana kuliko wote na hakuna mpaka sasa aliyewahi kuvunja record yake.google mkuu
Dogo una akili sana.njoo unywe mbili karabash
 
Ni story tu,hiyo dhahabu wakiitoa wapi?wakitumia mitambo gani kuchimba.,na ilikwenda wapi,maana dhahabu haiozi
We kiazi zamani madini yalikuwa yanaokotwa tu kwenye mito na milima.na soko lake lilikuwa mbali.yaani Kwa lugha radii walikuwa wanafukuwa kama magimbi au viatu mabondeni.lkn no information wakati huo na wajanja walikuwa wachache kama kina mansa musa kanisani.
 
We kiazi zamani madini yalikuwa yanaokotwa tu kwenye mito na milima.na soko lake lilikuwa mbali.yaani Kwa lugha raisi walikuwa wanafukuwa kama magimbi au viazimabondeni.lkn no information wakati huo na wajanja walikuwa wachache kama kina mansa musa kanisani.
 
Kama angekua na hela angekuwa na empire na si kingdom ndogo kama kibaha,

walikuwepo kina genghis khan;cyrus,hammurabi,nebkednezar ndo walikua na nguvu na empire kubwakubwa
Suleiman alitawala dunia nzima
 
Hadithi ni hadith tu, tena bora za mababu uwongo wao una kiasi, ila hao wazee wa dini uwongo umepitiliza mkuu,

Oh Suleiman alikuwa na hekima, aliongea na majini, alikuwa tajiri sana, alikuwa na wake 700

Wote huu uwongo mtamu,
Kipi hakiwezekan
 
View attachment 310110View attachment 310111 Alikuwa na utajiri unaokadiriwa kufikia dollar za kimarekani trillion 2.1
actually hapajawahi kuwepo na mfalme wa israel anaeitwa solomoni,labda uwe unamuongelea seleman the Great,huyo alikuwa mturuki kama sikosei,

solomon kama alikuwepo was just a small time chief wa israel,huo uwezo wanaomtaja kuwa nao hauko supported kihistory
 
Suleiman alitawala dunia nzima
ha ha ha,@karukenge unajiabisha mkuu,
solomon hajawahi kutawala dunia nzima,he was just a chief wa kabla dogo za waisrael ,
ukitaka kuupata ukweli uzuri kakuwekea na miaka,hebu search hiyo miaka uone empire zipi zilikuwa zikibamba eneo hilo kipindi hicho.
Story za solomoni kwenye vitabu kama bible ni hekaya sio really,ni kama ile habari eti daudi aliitisha sensa dunia nzima,au sijui safina ya noah ilibeba kila aina ya mnyama,
wakati hata aircraftcarrier ya marekani haiwezi kubeba
 
We kiazi zamani madini yalikuwa yanaokotwa tu kwenye mito na milima.na soko lake lilikuwa mbali.yaani Kwa lugha radii walikuwa wanafukuwa kama magimbi au viatu mabondeni.lkn no information wakati huo na wajanja walikuwa wachache kama kina mansa musa kanisani.
nani kakudanganya?,
solomoni alikuwa chief wa kawaida tu,huo utajiri unausema hakuwa nao,ni hekaya tu,
kipindi hicho asyrian empire ndo walikuwa habari ya mjini huko,
na pia egypt empire
 
Plus..according tu wana history.. Mansa Musa mfalme wa Mali empire... Ndio Binadamu alie wahi kuwa tajir Dunia nzima mpaka leo hamna mtu alie wahi fikia Utajir wake..

Wakati anaenda hiji macca alipitia misri .. Na kusabisha uchumi wao kuyumba kutokana na dhahabu alizo tumia.. Pale misri...

Google tu wealthiest persw to ever live on the earth utapata maelezo zaid.

So general sawa mfalme suleiman alikuwa tajir but kuna wengine walio wahi kuwa matajir zaid yake!

*Lumina out!*
 
Plus..according tu wana history.. Mansa Musa mfalme wa Mali empire... Ndio Binadamu alie wahi kuwa tajir Dunia nzima mpaka leo hamna mtu alie wahi fikia Utajir wake..

Wakati anaenda hiji macca alipitia misri .. Na kusabisha uchumi wao kuyumba kutokana na dhahabu alizo tumia.. Pale misri...

Google tu wealthiest persw to ever live on the earth utapata maelezo zaid.

So general sawa mfalme suleiman alikuwa tajir but kuna wengine walio wahi kuwa matajir zaid yake!

*Lumina out!*

actually hapajawahi kuwepo na mfalme wa israel anaeitwa solomoni,labda uwe unamuongelea seleman the Great,huyo alikuwa mturuki kama sikosei,

solomon kama alikuwepo was just a small time chief wa israel,huo uwezo wanaomtaja kuwa nao hauko supported kihistory

ha ha ha,@karukenge unajiabisha mkuu,
solomon hajawahi kutawala dunia nzima,he was just a chief wa kabla dogo za waisrael ,
ukitaka kuupata ukweli uzuri kakuwekea na miaka,hebu search hiyo miaka uone empire zipi zilikuwa zikibamba eneo hilo kipindi hicho.
Story za solomoni kwenye vitabu kama bible ni hekaya sio really,ni kama ile habari eti daudi aliitisha sensa dunia nzima,au sijui safina ya noah ilibeba kila aina ya mnyama,
wakati hata aircraftcarrier ya marekani haiwezi kubeba
Learning from history! The past
 
Back
Top Bottom