Nana brain
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 488
- 367
Wanasayansi bhana!!! Huwa mnajaribu sana kujifanya mnajua kuliko Mungu, mnafikiri ordinary sana wakati ukweli unakuwa wazi.kisayansi mdudu hana vocal ya kuweza kuongea,hi story ni sawa na yule jamaa alikua kapanda punda kisha eti akaona malaika kaziba njia,punda akagoma kwenda,jamaa akampiga mjeredi mpaka punda akauliza anapigwa kwa kosa gani,punda hawezi ongea kamwe,