mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
aliwezaje kuwahudumia kimwili wake 700 na bado ma concubine.
Anapiga hat trick bao moja moja na walikuwa wanatosheka wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aliwezaje kuwahudumia kimwili wake 700 na bado ma concubine.
kilikua kibanda sio hekalu,kasome bible uone ukubwa hilo hekalu utashangaa
in religious point of view ninakubaliana na wewe bt in a scientific point of view huyo ni wakufirika na hayupo.
Mfalme Suleiman Hakuwa mtoto wa mchepuko alikuwa mtoto wa halali wa Mfalme Daudi unasema maneno ya uongo mkuu kenshialikuwa mtoto wa pili wa mchepuko wa mfalme daudi. aliomba hekima kwa MUNGU akapewa na utajiri
Hadithi ni hadith tu, tena bora za mababu uwongo wao una kiasi, ila hao wazee wa dini uwongo umepitiliza mkuu,
Oh Suleiman alikuwa na hekima, aliongea na majini, alikuwa tajiri sana, alikuwa na wake 700
Wote huu uwongo mtamu,
Mfalme Suleiman Hakuwa mtoto wa mchepuko alikuwa mtoto wa halali wa Mfalme Daudi unasema maneno ya uongo mkuu kenshi
masahihisho ni concubinesMasahihisho wake ni 700 na masuria 300 ( house girls)
We unaongelea sayansi ipi?
Ikiwa paka (cat)huko Tanga anaongea vipi miujiza kama hii isiwatokee manabii?
Well, hivi unajua ata kuku anaongea?but wewe huwezi kumuelewa anaongea nn.
View attachment 310110View attachment 310111 Alikuwa na utajiri unaokadiriwa kufikia dollar za kimarekani trillion 2.1
Na alikua mzee wa totozi balaa...
Alikua na wanawake wa kihalali 300 na vimada 700, hata "ukiwashugulikia" kila mmoja kwa siku hauwamalizi ndani ya mwaka mmoja
kipindi hicho mwanaume ni dume kweli... sio wa kizazi hiki wanaojua kutunisha misuli ya mikono ili shirt limbane.....aliwezaje kuwahudumia kimwili wake 700 na bado ma concubine.
Ndiye inasemekana aliasisi Iluminati ama iluminati ilikuwa originated katika ukoo wake, proof ya hiyo ni Solomon Seals, hizi ndo logo za Iluminati wanazotumia. Hapo ndo utagundua historia njema ya bangi na kwanini waliamua kuiharamisha bangi kwa manufaaa ya nani?
Humo utawakuta Sygenta, Bill Gates na project zao za GMO's. Godamn!!! My Dunia.
lakini mbona kama ni uvumi tu,anaeshikilia sasa mali ya rothchild sasa ni kijana Nathaniel Rothchild mbona yuko simple tu,na hivi karibuni walikua na beef na tycoon la kiindonesia,walipigana vijembe vya hatari kule twitter,Rothchild ana utajiri unaokadiriwa kufikia dollar za kimarekani trillion 100 na ni utajiri unaotokana na financial assets alizo invest dunian kote