Mfalme Suleiman (970-931BCE) ndie tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani

Mfalme Suleiman (970-931BCE) ndie tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani

mama wa sulemani (BATH-SHEBA) alikuwa tayari ni mke wa mtu (URIA MHITI) huyu URIA alikuwa askari wa mfalme DAUDI. so mfalme DAUDI alipo nogewa na penzi la BATH SHEBA akafanya mbinu za kifo cha URIA vitani.
Ukifuata Biblia inasema maneno mengi sio ya ukweli shauri yako na imani yako Biblia ina makosa zaidi ya Elfu 50 kuna mikono ya watu ndani ya biblia ndio maana haisemi maneno ya ukweli.
 
lakini mbona kama ni uvumi tu,anaeshikilia sasa mali ya rothchild sasa ni kijana Nathaniel Rothchild mbona yuko simple tu,na hivi karibuni walikua na beef na tycoon la kiindonesia,walipigana vijembe vya hatari kule twitter,

Rothchild family ndo familia tajiri ambayo inatawala dunia.... zikiwepo rockerfeller, morgan na du pont family.... wanatawala dunia kwa siri
 
Mansa Mussa ndie Tajiri mkubwa aliwe wali kutokea dunia
 
Yaap nijuavyo mimi ni mansa musa,wajuzi endeleeni kutujuza
 
Na alikua mzee wa totozi balaa...

Alikua na wanawake wa kihalali 300 na vimada 700, hata "ukiwashugulikia" kila mmoja kwa siku hauwamalizi ndani ya mwaka mmoja

sasaa, alikuwa anawasadiane juu ya yale marupurupu ya ndoa?
 
Na alikua mzee wa totozi balaa...

Alikua na wanawake wa kihalali 300 na vimada 700, hata "ukiwashugulikia" kila mmoja kwa siku hauwamalizi ndani ya mwaka mmoja

Hapo kwenye vimada nikurekebishe kidogo ktk vitabu vitakatifu ni masuria
 
Anabahati sana zamani hakukua na CAG wala TRA ingebidi atoe maelezo ya kina juu ya u ajiri wake.
 
aiwezaje kuwahudumia kimwili wake 700 na bado ma concubine.

Hao mia saba siyo wake ni masuria nikurekebishe kidogo wake walikuwa mia Tatu ila Kwa jinsi tunavyopenda vyakula vya kusindika hat trick hata Kwa moja huwezi.
 
Hao mia saba siyo wake ni masuria nikurekebishe kidogo wake walikuwa mia Tatu ila Kwa jinsi tunavyopenda vyakula vya kusindika hat trick hata Kwa moja huwezi.

Hata fisimaji hamfikii huyu jamaa
 
Rothchild family ndo familia tajiri ambayo inatawala dunia.... zikiwepo rockerfeller, morgan na du pont family.... wanatawala dunia kwa siri

Mansa Mussa ndie Tajiri mkubwa aliwe wali kutokea dunia

Yaap nijuavyo mimi ni mansa musa,wajuzi endeleeni kutujuza

Wote tunasoma hizi habari vitabuni na kwenye mitandao hakuna anayeweza kujua kwa hakika nani alikuwa zaidi ya nani
 
Anabahati sana zamani hakukua na CAG wala TRA ingebidi atoe maelezo ya kina juu ya u ajiri wake.

Yeye ndie alikuwa mtawala was himaya yake kwahiyo asingeweza kutozwa kodi...na utawala wake ulidumu kwa miaka 40
 
Ni story tu,hiyo dhahabu wakiitoa wapi?wakitumia mitambo gani kuchimba.,na ilikwenda wapi,maana dhahabu haiozi

mkuu zaman dhahabu ilikuwa haichimbwi ilikuwa inaokotwa tu kandokando ya mito.
 
Mh........

Endelea kidogo basi.

Utajiri wake ulikua ktk mambo gani. Vito vya thamani fedha au nini hasa...

1449731438966.jpg
 
Zamani nilikua namchanganya king solomon wa israel kingdom na king Suleiman The magnificent wa Ottoman empire,kumbe watu wawili tofauti,

cheki hii barua ya king suleiman the great kwenda kwa king fransis wa ufaransa,

I sultan of sultan,king of kings,the shadow of God who bestow the crown to the monarch on earth,the supreme ruler of mediterrenian and black sea,balkan ana Anatolia,Azerbanjain,Damuscus and Allepo,egypt,mecca and medina,Jerusalem and all the arab dominion,an yemen,and the sultan and the supreme king of many nations.

Iam the son of sultan selim khan and the grandson of sultan Bayezid khan AND YOU KING FRANSIS,are the governer of the french province.

Hiyo ndo mikwara ya king suleiman The great
 
Back
Top Bottom