Dhalimu ndio aliua nguvu ya wananchi kuhoji. Sasa hivi kila kiongozi atatumia vyombo vya dola kunyamazisha madai ya wananchi.Tanganyika is sold out nothing left.
Hatujawahi shindwa vita vyovyote kimapigano.
Ila tumepigwa na mafisadi na nchi ipo mikononi mwa wageni.
Technically hatuna chetu tena.
Wewe kwa akili zako hii ingekuwa kipindi cha Magufuli????Hii ya lini?
Naona watu mmedhamiria hasa "KUFUKUA MAKABURI YOTE KABISA" bila kuacha hata kaburi moja.View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
KWA NINI IWE SIRI NA KWA NINI ZIARA HIYO HAIKUWEKWA BAYANA?!
JE, HILO DEGE LA KIVITA LILITOKA HIVI HIVI BILA NYARA ZETU HUKO POLINI????
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Twafa 🤔🤔🤔🤔
Itakuwa alikuwa mgeni maalum wa ccm. Nyie chadomo haiwahusu, nyie karibu mtamkaribisha kiongozi wa mashoga.View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
KWA NINI IWE SIRI NA KWA NINI ZIARA HIYO HAIKUWEKWA BAYANA?!
JE, HILO DEGE LA KIVITA LILITOKA HIVI HIVI BILA NYARA ZETU HUKO POLINI????
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Tumeifungua nchi, kumbe Kinana yupo nchini! Hakika mnuso humuibua mtu.View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
KWA NINI IWE SIRI NA KWA NINI ZIARA HIYO HAIKUWEKWA BAYANA?!
JE, HILO DEGE LA KIVITA LILITOKA HIVI HIVI BILA NYARA ZETU HUKO POLINI????
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Inasemekana....Wamasai walitolewA kwa nguvu ili hawa wafaidi rasilimali zetu.inasemekana wamebeba nyara za serikali.
TICTS mnapambana sana lakini hili suala la bandari mmeshashindwa vibaya sana.
Mnakuja na video zisizo na ushahidi wa hicho mnachotuhumu watu kukifanya.
Nyie si mnasema Kuna mahali huko mikoa ya Kaskazini ukifika mtandao unakamata network za middle east! Sasa Museveni kutembelea Arua lazima Rais Ruto apate taarifa? Sijui nimejieleza!?Hoja ni wao ama si wao?! Na kwa nini ziara hiyo ilifanywa siri? KWA NINI???????
Zipo sababu za msingi za kufanya hivyo zaidi ya huu umbea wa mitandaoni. Kuna suala zima la ardhi kupoteza uhai wake wakiendelea kuwa pale na kuitumia kulishia mifugo na wao kuishi.Kwani haujaona wamasai wamehamishwa kutoka maeneo yao ya asili na kutupwa handeni
Kweli hii serikali ya awamu ya sita ni pasua kichwa. Imesheheni wezi, mafisadi, majangili, wauza unga wanaojifunika katika shuka la diniView attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?
Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
CCM oyeeeeee, CCM ni mijiziView attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?
Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!