Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Dhalimu ndio aliua nguvu ya wananchi kuhoji. Sasa hivi kila kiongozi atatumia vyombo vya dola kunyamazisha madai ya wananchi.Tanganyika is sold out nothing left.
Hatujawahi shindwa vita vyovyote kimapigano.
Ila tumepigwa na mafisadi na nchi ipo mikononi mwa wageni.
Technically hatuna chetu tena.