Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

Na vijana mmekaa kwenye vijiwe vya bodaboda na mabanda ya kubet badala ya kujaa mabarabarani kulinda rasilimali zenu! Sijui mtalisha Nini watoto wenu kesho. Wazee mlioaminishwa kuwa na busara na hekima wamegeuka madalali wanawauza na nchi yenu kwa Bei ya jumla! Amkeni enyi watoto!
 
View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.

KWA NINI IWE SIRI NA KWA NINI ZIARA HIYO HAIKUWEKWA BAYANA?!

JE, HILO DEGE LA KIVITA LILITOKA HIVI HIVI BILA NYARA ZETU HUKO POLINI????

Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Naona watu mmedhamiria hasa "KUFUKUA MAKABURI YOTE KABISA" bila kuacha hata kaburi moja.
 
View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.

KWA NINI IWE SIRI NA KWA NINI ZIARA HIYO HAIKUWEKWA BAYANA?!

JE, HILO DEGE LA KIVITA LILITOKA HIVI HIVI BILA NYARA ZETU HUKO POLINI????

Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Itakuwa alikuwa mgeni maalum wa ccm. Nyie chadomo haiwahusu, nyie karibu mtamkaribisha kiongozi wa mashoga.
Hakuna palipo na nafuu kwa kweli.
Huku ccm tunapigwa, kule upinzani ndo usiseme
 
View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.

KWA NINI IWE SIRI NA KWA NINI ZIARA HIYO HAIKUWEKWA BAYANA?!

JE, HILO DEGE LA KIVITA LILITOKA HIVI HIVI BILA NYARA ZETU HUKO POLINI????

Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Tumeifungua nchi, kumbe Kinana yupo nchini! Hakika mnuso humuibua mtu.
 
TICTS mnapambana sana lakini hili suala la bandari mmeshashindwa vibaya sana.

Mnakuja na video zisizo na ushahidi wa hicho mnachotuhumu watu kukifanya.
 
[mention]ChoiceVariable [/mention] anakueleza wajamaa hawajui lolote bila kujua kua wengine wanaopinga hata hupewa taarifa na wana usalama wazalendo
 
Kwani haujaona wamasai wamehamishwa kutoka maeneo yao ya asili na kutupwa handeni
Zipo sababu za msingi za kufanya hivyo zaidi ya huu umbea wa mitandaoni. Kuna suala zima la ardhi kupoteza uhai wake wakiendelea kuwa pale na kuitumia kulishia mifugo na wao kuishi.
 
View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.

Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?

Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?

Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Kweli hii serikali ya awamu ya sita ni pasua kichwa. Imesheheni wezi, mafisadi, majangili, wauza unga wanaojifunika katika shuka la dini
 
Back
Top Bottom