Kanywea vipi wakati leo gas ulaya bei imepanda maradufu na putin rafiki yake ni trump kwa sababu anamcontrol ndio maana nato na european union hawamtaki trumo anaharibu mipango yao,Sasa si wafanye mkuu tuone? Kama Putin kanywea haswa
Unawajua Wapalestina wewe? Waarabu wenzao wanawakataa unafikri wajinga? Labda waende Zanzibar huku Tanganyika hatuwataki kabisa.Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
kama kuna kanisa la nativity huko bethlehem ya uyahudi wakristo watakosanaje?Hujajibu swali hakuna wakristo ndani ya palestine!?
Wapelestina wala hawana shida, hawana tofauti na waarabu wengine.Unawajua Wapalestina wewe? Waarabu wenzao wanawakataa unafikri wajinga? Labda waende Zanzibar huku Tanganyika hatuwataki kabisa.
50 wachache sana. tuwachukue 500,000 kwa uchache.Tanzania tuna mzigo mkubwa wa Wakimbizi wa Kongo na Burundi.
Lakini tukichukua 50 siyo mbaya!
Acha wachukuane wao Kwa wao. Wale viumbe na kazi ngumu kuishi nao!! Ni hatari sanaTanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Ha ha haa. Una akili nzuri sanaTanazania wachukue wapalestina ila wa kike tu wenye umri kati ya 18yrs na 25. Waje wawamwage uswahilini.
Tumechoka kunusa uvundo we weaving na mawig. At least na sisi tufeel ladha halisi ya nywele ya singa.
Wapalestina wengi wanataka kuondoka Gaza kutokana na mateao wanayoyapitia, lakini Hamas wanawazuia, na ukionekana unakimbia, wanakuua, maana wanawatumia hao kama shield.Kwaiyo hapo Marekani anaenda kuwaomba Wapalestina wahame au nayeye anaenda kupiga mabomu?
Mzee ilo swala la kisema wapalestina wengi wako tayari kutoka Gaza liondoe, pale walipo wanapigania uhuru wa Taifa lao kama walivyokapambana wakina Kinjeketile dhidi ya Wajerumani! Wanapambania haki ya Taifa!Wapalestina wengi wanataka kuondoka Gaza kutokana na mateao wanayoyapitia, lakini Hamas wanawazuia, na ukionekana unakimbia, wanakuua, maana wanawatumia hao kama shield.
Hii offer wapalestina wengi watafurahia maana pale Gaza wanaishi kama mateka wa magaidi ya Hamas.
Lakini kuwaleta wapalestina nchini, labda kufanyike uchunguzi wa hali ya juu sana, mtu kwa mtu, familia kwa familia. Wale wenye itikadi za kuamini kuwa ili ufike aheri ni lazima uue au ulajilipue uue watu wa imani nyingine, hao kamwe usiwakaribishe, utajuta. Kwao wakati wote wanatafuta watu wa kuwaua ili waipate ahera waliyoahidiwa.
Mbona Putin hamvimbii Trump?Kanywea vipi wakati leo gas ulaya bei imepanda maradufu na putin rafiki yake ni trump kwa sababu anamcontrol ndio maana nato na european union hawamtaki trumo anaharibu mipango yao,
Hakuna msaada wowote wa maana mzungu atakupa usiokuwa na high cost of return, ndio maana nchi kama libya wazungu waliona ni adui na atawaamsha waafrika wengine
Atawahamisha kama wamasai walivyohamishwa NgorongoroGaza wana utawala wao ambao viongozi wote ni chama cha Hamas! Kwaiyo atauwauza tu bila kuwashirikisha?
Hakika ww ni kubwa jingaWapalestina wengi wanataka kuondoka Gaza kutokana na mateao wanayoyapitia, lakini Hamas wanawazuia, na ukionekana unakimbia, wanakuua, maana wanawatumia hao kama shield.
Hii offer wapalestina wengi watafurahia maana pale Gaza wanaishi kama mateka wa magaidi ya Hamas.
Lakini kuwaleta wapalestina nchini, labda kufanyike uchunguzi wa hali ya juu sana, mtu kwa mtu, familia kwa familia. Wale wenye itikadi za kuamini kuwa ili ufike aheri ni lazima uue au ulajilipue uue watu wa imani nyingine, hao kamwe usiwakaribishe, utajuta. Kwao wakati wote wanatafuta watu wa kuwaua ili waipate ahera waliyoahidiwa.
Kwa mujibu wake anasema anataka kuinunua palestina na mchochezi wa hili ni bwana netanyau… ndomana uachiaji wa mateka Hamas wamesitisha baada ya iyo kauli.Kwaiyo hapo Marekani anaenda kuwaomba Wapalestina wahame au nayeye anaenda kupiga mabomu?
Hakika makafiri hayana akiliHakuwa na ujanja Rais wa dunia kashasema hakuna namna hata Putin amekuwa mpole balaa maana anajua jamaa huwa hatanii anaweza akaifuta Russia wakaanza upya.
Sasa nyie wenye akili toeni misaada Africa na kanzu zenuHakika makafiri hayana akili
Mahmoud Abbas hana mamlaka Gaza. Yeye ni Kiongozi wa West Bank.Yes ataiuza ni kipande kidogo tu siyo Palestina yote ni Gaza
Fox News? Ha ha haaa ...Ilikuwa mubashara Fox news