Kanywea vipi wakati leo gas ulaya bei imepanda maradufu na putin rafiki yake ni trump kwa sababu anamcontrol ndio maana nato na european union hawamtaki trumo anaharibu mipango yao,Sasa si wafanye mkuu tuone? Kama Putin kanywea haswa
Hakuna msaada wowote wa maana mzungu atakupa usiokuwa na high cost of return, ndio maana nchi kama libya wazungu waliona ni adui na atawaamsha waafrika wengine