Naona unamtetea mwenzioMkuu, usifikiri kila mtu anajua kuwa hiyo ni picha ya jani. Mwingine kavutiwa tu na mpangilio wa hizo rangi. Yawezekana pia hajawahi kuona hiyo bangi inakuwaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ebu mpe kwanza mumeo cha asubuhi ndio urudi kukocomment
Mkuu, usifikiri kila mtu anajua kuwa hiyo ni picha ya jani. Mwingine kavutiwa tu na mpangilio wa hizo rangi. Yawezekana pia hajawahi kuona hiyo bangi inakuwaje
Haha umeamua kuongea chohote ili mradi pesa yako iiingieMkuu, usifikiri kila mtu anajua kuwa hiyo ni picha ya jani. Mwingine kavutiwa tu na mpangilio wa hizo rangi. Yawezekana pia hajawahi kuona hiyo bangi inakuwaje
Mullah Omar wa afghanistani?Haa! Nakumbuka kikwete naye alipiga picha na lijamaa limoja lenye jicho moja na tattoo za kutosha tuliambiwa linatoka familia ya mfalme gani ya mfalme
Hahaha sisi wagalatia wazushi sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Makafiri mna chuki za kitoto sana! !!!!
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahai ndo maana waliambiwa wachanganye na zao!View attachment 425886View attachment 425887View attachment 425888
Hao ndio watakao jenga msikiti na uwanja, Chadema!
Acha ushamba nduguu yangu...mfalume gani huyo awe hana walinzi....hapa nikudharau nchi nyingine hata kama hupendi watu wajengewe miskiti kwa ibada na wew mtumishi wa shetani basi acha kashfa...nyau wew
Waislam wasio wanafiki hawatamuunga mkono kwenye ujenzi wa msikiti au kuswali huko kwani watachukulia ni haram...ila wale wa ubwabwa watampongeza sana.hii aibu kubwa sana kwa wale ndugu zetu,naamini kwa wale wakata suruali(wavaa pedo) hawataingia kabisa kwenye hiyo nyumba tusubiri gazeti la al-nuur au kisiwa wataitoa hii picha wakipondoa ufadhili wa mjengo
kama mfalme anakuwa hivi jee raia wa kawaida atakuaje? Huyu hata ugaidi atakuwa anafadhili
Acha kubadili mada, anzisha thread yako tuichangie.
Tumjadili na huyu Pesa anatoa kwenye kipima Joto kufadhiri Chama
Acha ushamba nduguu yangu...mfalume gani huyo awe hana walinzi....hapa nikudharau nchi nyingine hata kama hupendi watu wajengewe miskiti kwa ibada na wew mtumishi wa shetani basi acha kashfa...nyau wew
Mfalme mtukufu mvuta bangi kumbe.Lumumba mlikuwa mnasifia teja bora mgemsifia Sendeka msema hovyo.Hayo ni maisha yake binafsi. Usiingize na ahadi alizotoa
Hapana umeenda mbali, jamaa ameuliza tu huyu ni wa kujenga Msikiti halal?Why watu wamelichukulia hili too personal? Waarabu wa tanzania wamekuja juu utadhan hyu ni mfalme wao. Mi nachojua ni mfalme wa morocco anaweza kuwa mpuuzi pia kma ambavyo hata donald trump anaweza kuwa mpuuzi. Nachoshangaa waarabu wa sikonge, maneromango,samvula chole,kisarawe na lindi ambao uarabu wao huwa ni kula tende tu wakat wa mfungo ndo wanakasirika sana wanapoona picha kama hizi na kutokwa na povu wakat huyu jamaa hawahusu hata kidogo. Sisi miafrika myeus tunata matatizo sana. So donald trump naye ni ndugu yenu?urais wake huko marekan niny unawahusu nini? View attachment 425906 View attachment 425907 View attachment 425908 View attachment 425909
Acha ushamba nduguu yangu...mfalume gani huyo awe hana walinzi....hapa nikudharau nchi nyingine hata kama hupendi watu wajengewe miskiti kwa ibada na wew mtumishi wa shetani basi acha kashfa...nyau wew
Anapendaje reggae za Bob Marley na Culture<<< Alipokuwa anashuka kukanyaga Ardhi ya BONGO ktk BOING yake ile Nilijua huyu jamaa ni ''JAH man ''' MSELA tu.>>
Hapana umeenda mbali, jamaa ameuliza tu huyu ni wa kujenga Msikiti halal?
Photoshop..kichwa kikubwa kuliko mwili
Hiz ekselensiii, Honorable Mohammed 6thHapo nlikuwa namjibu dada lizabon alipoleta picha za donald trump wakat hazina uhusiano
Swal lako ni la msingi sana sijui kama litajibiwa humu ndani. Anyway... BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA.