Hata mie swali langu ni hilohilo au hii ni photoshop,ila kama ni kweli duuh hatari,na tulivyo mabingwa wa kuombaomba muda si mrefu tutaanza kuwaomba kenyaHivi kweli huyu ndie mfalme?
Jf huwa kuna terminology Kama hii....gaidees!Aaaghiiii misikiti ya nini wanataka tu kufungua vyuo vya young gaideees indirect hatutaki
Ana uhusiano na UislamuMaisha ya mtu binafsi Mi huwa cna cha kujadili, mara ngapi zanzibar wanafikia wachezaji mipira, marapper, wanamitindo na celebrities mbali mbali kutoka majuu na wanafanya zaidi ya huyo mfalme wa Morocco lakini watu huona ni kawaida tu, iweje huyu wa hapa hapa Africa? Acheni ushamba
Ogopa Mungu kijana.
Mfalme wa Nchi anaweza kuvaa kipuuzi namna hii?
Au unadhani kupewa cheo cha UFALME ni kama balozi wa nyumba 10?
Mnaleta picha za kitoto kutukanisha watu na heshma zao?
Moderator please remove this post.
Au hamisha kwenye Jukwaa la vichekesho please.
Hio picha imetengenezwa tena na Mwanfunzi asiyejua vzuri ndio maana unaona hakuna uhusiano kati ya Miguu na eneo la kiwiliwili mpaka kichwani. Itz Photoshop material. Tujifunze kuheshimu viongoz wa mataifa ya wenzetu.
mkuu unakosea sio wakristo wote wanapiga pork.. wakristo wengine pork ni haramu kubwa
Mfalme haandaliwi bali anapokea kijiti tu, kama muda wake wa kupokea umefika hakuna mjadala wala screening, je ulimuona yule wa Thailand?Photoshop if you ask me! Dont be too easily duped.
But kama ni kweli basi Moroko hawana misingi mizuri ya kuandaa wafalme, haipendezi mwenye nchi kavaa nguo yenye rangi za bendera ya marekani na pia kavaa hivyo in public na TENA yeye ni mfalme wa nchi ya kiarab na bendera ya marekani.
Wenzetu waingereza, wanamuandaa mfalme kuanzia bibi yake mpaka yeye anazaliwa na atakula nini na kuvaa nini ma kwenda shule gani na kanisa gani!
Umeangalia picha zake zote? Hebu mgoogle uone uwiano wa mwili wakePhotoshop..kichwa kikubwa kuliko mwili
sivuti bangi ila haina maana kusema alama ya bangi ikifuani ni aibu. Acha ku dictate maisha ya mtu. Kafanya kilichomleta kiserikali kakitekeleza. mengine ni maisha yake hayatuhusu. acha ala bata zake. ulitaka hapo awe amevaa suit na tai wakati yuko katika utalii wake tena binafsiView attachment 425812
Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?
@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
Itakuwa photo shop hii,ona huo mkono wa mfalme wa kushoto,umegusa kabisa ziwa la huyo dada!! Haiwezekani mfalme tena wa dini safi ya kiislam kufanya upuuzi wa aina hiyo HAIWEZEKANI HII PICHA KUWA KWELI.Hii Picha ni ya Ukweli au Photoshop?
kwani kuvaa nguo yenye picha ya mmea dhambi? mkuu mchambuzi kama ni hivo ule utafiti utakua unakuhusu wewe.Mgeni wa Rasmi wa Rais muadilifu JPM anavaa nguo yenye kutukuza bangi katika hadhara mnasema ni maisha yake binafsi? Where are our senses? Au tunaukubali utafiti kwamba sisi watanzania, mmoja Kati ya wanne tunaugua akili?
Hakuna Mkristo aliyeharamishiwa Nguruwe, hao unaowasema ni watu wanaojinasibisha kuwa Wakristo hili hali wanafata sheria za DINI YA KIYAHUDI