Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Maisha ya mtu binafsi Mi huwa cna cha kujadili, mara ngapi zanzibar wanafikia wachezaji mipira, marapper, wanamitindo na celebrities mbali mbali kutoka majuu na wanafanya zaidi ya huyo mfalme wa Morocco lakini watu huona ni kawaida tu, iweje huyu wa hapa hapa Africa? Acheni ushamba
 
Mfalme msele nondo yuko na totozi.Alikuwa mlimani city anafanya shopping.
 
Aaaghiiii misikiti ya nini wanataka tu kufungua vyuo vya young gaideees indirect hatutaki
 
Maisha ya mtu binafsi Mi huwa cna cha kujadili, mara ngapi zanzibar wanafikia wachezaji mipira, marapper, wanamitindo na celebrities mbali mbali kutoka majuu na wanafanya zaidi ya huyo mfalme wa Morocco lakini watu huona ni kawaida tu, iweje huyu wa hapa hapa Africa? Acheni ushamba
Ana uhusiano na Uislamu
 
Hii inamanisha hata watu mnaochangia negative hamna sifa za kuwa viongoz

Uongozi hauondoi sifa ya ubinadam
Tujifunze kuheshim utu na fargha za watu
 
Ogopa Mungu kijana.
Mfalme wa Nchi anaweza kuvaa kipuuzi namna hii?
Au unadhani kupewa cheo cha UFALME ni kama balozi wa nyumba 10?

Mnaleta picha za kitoto kutukanisha watu na heshma zao?

Moderator please remove this post.
Au hamisha kwenye Jukwaa la vichekesho please.

Unawashwa na nn?
 
Hio picha imetengenezwa tena na Mwanfunzi asiyejua vzuri ndio maana unaona hakuna uhusiano kati ya Miguu na eneo la kiwiliwili mpaka kichwani. Itz Photoshop material. Tujifunze kuheshimu viongoz wa mataifa ya wenzetu.
 
mkuu unakosea sio wakristo wote wanapiga pork.. wakristo wengine pork ni haramu kubwa

Hakuna Mkristo aliyeharamishiwa Nguruwe, hao unaowasema ni watu wanaojinasibisha kuwa Wakristo hili hali wanafata sheria za DINI YA KIYAHUDI
 
Photoshop if you ask me! Dont be too easily duped.
But kama ni kweli basi Moroko hawana misingi mizuri ya kuandaa wafalme, haipendezi mwenye nchi kavaa nguo yenye rangi za bendera ya marekani na pia kavaa hivyo in public na TENA yeye ni mfalme wa nchi ya kiarab na bendera ya marekani.
Wenzetu waingereza, wanamuandaa mfalme kuanzia bibi yake mpaka yeye anazaliwa na atakula nini na kuvaa nini ma kwenda shule gani na kanisa gani!
Mfalme haandaliwi bali anapokea kijiti tu, kama muda wake wa kupokea umefika hakuna mjadala wala screening, je ulimuona yule wa Thailand?
 
View attachment 425812

Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?

@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
sivuti bangi ila haina maana kusema alama ya bangi ikifuani ni aibu. Acha ku dictate maisha ya mtu. Kafanya kilichomleta kiserikali kakitekeleza. mengine ni maisha yake hayatuhusu. acha ala bata zake. ulitaka hapo awe amevaa suit na tai wakati yuko katika utalii wake tena binafsi
 
Mgeni wa Rasmi wa Rais muadilifu JPM anavaa nguo yenye kutukuza bangi katika hadhara mnasema ni maisha yake binafsi? Where are our senses? Au tunaukubali utafiti kwamba sisi watanzania, mmoja Kati ya wanne tunaugua akili?
kwani kuvaa nguo yenye picha ya mmea dhambi? mkuu mchambuzi kama ni hivo ule utafiti utakua unakuhusu wewe.
 
ALIYE-PHOTOSHOP PICHA YA MFALME WA MOROCCO ALIKUA NA MALENGO GANI?

upload_2016-10-28_23-24-20.png

· Kuuchafua Uisalmu.

· Kuichafua nchi ya Morocco ya utawala wake.

· Kumchafua Mfalme wa Morroco binafsi.

· Kuichafua serikali ya Magufuli.

· Kuchafua Zanzibar.

Angalia (zoom) vizuri picha sehemu iliyozungushiwa duara utaona katikati kuna mstari unaomaanisha kuna muunganiko wa picha mbili ndani ya picha moja, angalia zaidi kwenye sikio palipozingishiwa kuna muunganiko wa masiko mawili tofauti. Hiyo ilkua ni kuthibitisha tu mchezo uliofanyika kwa wale ambao si wajuzi wa mambo haya mpaka kupelekea kudanganyika na kuona kwamba picha hiyo ni ya kweli mpaka wengine kufikia kuanzisha nyuzi kutokana na picha hiyo.

Swali la msingi nini ilkua malengo ya mtu huyu?
 
hakuna mtu atakaeenda mbinguni kwa kula au kutokula nguruwe. tuacheni unafiki. mi nawajua jaama hawali nguruwe lakini wana dhambi nyingi tu ila anakwambia nguruwe haramu. ni kweli kristo alikuja kuondoa sheria sheria ambazo aliona hazina manufaa kwa mtu kuingia mbinguni. na alipinga sana unafiki wa watu wanaoonsha kikombe kwa nje huku ndani ni kuchafu.

Hakuna Mkristo aliyeharamishiwa Nguruwe, hao unaowasema ni watu wanaojinasibisha kuwa Wakristo hili hali wanafata sheria za DINI YA KIYAHUDI
 
Back
Top Bottom