Na uislamu mtu kuvaa hivyo hayuko uchiAna uhusiano na Uislamu
Sio photo shop hiyoALIYE-PHOTOSHOP PICHA YA MFALME WA MOROCCO ALIKUA NA MALENGO GANI?
View attachment 425961
· Kuuchafua Uisalmu.
· Kuichafua nchi ya Morocco ya utawala wake.
· Kumchafua Mfalme wa Morroco binafsi.
· Kuichafua serikali ya Magufuli.
· Kuchafua Zanzibar.
Angalia (zoom) vizuri picha sehemu iliyozungushiwa duara utaona katikati kuna mstari unaomaanisha kuna muunganiko wa picha mbili ndani ya picha moja, angalia Zaidi kwenye sikia palipozingishiwa kuna muunganiko wa masiko mawili tofauti. Hiyo ilkua ni kuthibitisha tu mchezo uliofanyika kwa wale ambao si wajuzi wa mambo haya mpaka kupelekea kudanganyika na kuona kwamba picha hiyo ni ya kweli mapaka wengine kufikia kuanzisha nyuzi kutokana na picha hiyo.
Swali la msingi nini ilkua malengo ya mtu huyu?
zoom picha hii ya kwanzaMbona nazoom lakini sioni chochote? Hebu lichinje hilo sikio kisha uupload tuone huo mstari!
ALIYE-PHOTOSHOP PICHA YA MFALME WA MOROCCO ALIKUA NA MALENGO GANI?
View attachment 425961
· Kuuchafua Uisalmu.
· Kuichafua nchi ya Morocco ya utawala wake.
· Kumchafua Mfalme wa Morroco binafsi.
· Kuichafua serikali ya Magufuli.
· Kuchafua Zanzibar.
Angalia (zoom) vizuri picha sehemu iliyozungushiwa duara utaona katikati kuna mstari unaomaanisha kuna muunganiko wa picha mbili ndani ya picha moja, angalia zaidi kwenye sikio palipozingishiwa kuna muunganiko wa masiko mawili tofauti. Hiyo ilkua ni kuthibitisha tu mchezo uliofanyika kwa wale ambao si wajuzi wa mambo haya mpaka kupelekea kudanganyika na kuona kwamba picha hiyo ni ya kweli mpaka wengine kufikia kuanzisha nyuzi kutokana na picha hiyo.
Swali la msingi nini ilkua malengo ya mtu huyu?