Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

ALIYE-PHOTOSHOP PICHA YA MFALME WA MOROCCO ALIKUA NA MALENGO GANI?

View attachment 425961
· Kuuchafua Uisalmu.

· Kuichafua nchi ya Morocco ya utawala wake.

· Kumchafua Mfalme wa Morroco binafsi.

· Kuichafua serikali ya Magufuli.

· Kuchafua Zanzibar.

Angalia (zoom) vizuri picha sehemu iliyozungushiwa duara utaona katikati kuna mstari unaomaanisha kuna muunganiko wa picha mbili ndani ya picha moja, angalia Zaidi kwenye sikia palipozingishiwa kuna muunganiko wa masiko mawili tofauti. Hiyo ilkua ni kuthibitisha tu mchezo uliofanyika kwa wale ambao si wajuzi wa mambo haya mpaka kupelekea kudanganyika na kuona kwamba picha hiyo ni ya kweli mapaka wengine kufikia kuanzisha nyuzi kutokana na picha hiyo.

Swali la msingi nini ilkua malengo ya mtu huyu?
Sio photo shop hiyo
 
Mbona nazoom lakini sioni chochote? Hebu lichinje hilo sikio kisha uupload tuone huo mstari!
zoom picha hii ya kwanza

upload_2016-10-28_23-39-43.png
upload_2016-10-28_23-39-43.png
 
lizaboni kakimbia??????????????? alikuja kumtetea ameona picha zaidi zimetumwa yeye na dr simba wameamua kukimbia. elimu elimu elimu. jamaa anapromote matumizi ya bhangi. then anataka awajengee msikiti. huo msikiti is haramu? au baniani mbaya kiatu chake dawa?
 
nimejaribu ku gugo kuhusu huyo mfalme na vacations zake, then siishangai hiyo picha. Ina weza kuwa ya kweli.
 
Sidhani kama adhabu kali zinatolewa kwa watu kama hawa. Tunatumia vibaya vyombo vyetu vya habari.Sijui watu wengine wamatumia vyombo vya habari wakiwa tayari ubongo umeshavurugika?Huyu nadhani ana agenda ya siri iliyomtuma kufanya kitendo cha kipuuzi kama hiki.Afundishwe mipaka yake.
 
ALIYE-PHOTOSHOP PICHA YA MFALME WA MOROCCO ALIKUA NA MALENGO GANI?

View attachment 425961
· Kuuchafua Uisalmu.

· Kuichafua nchi ya Morocco ya utawala wake.

· Kumchafua Mfalme wa Morroco binafsi.

· Kuichafua serikali ya Magufuli.

· Kuchafua Zanzibar.

Angalia (zoom) vizuri picha sehemu iliyozungushiwa duara utaona katikati kuna mstari unaomaanisha kuna muunganiko wa picha mbili ndani ya picha moja, angalia zaidi kwenye sikio palipozingishiwa kuna muunganiko wa masiko mawili tofauti. Hiyo ilkua ni kuthibitisha tu mchezo uliofanyika kwa wale ambao si wajuzi wa mambo haya mpaka kupelekea kudanganyika na kuona kwamba picha hiyo ni ya kweli mpaka wengine kufikia kuanzisha nyuzi kutokana na picha hiyo.

Swali la msingi nini ilkua malengo ya mtu huyu?
WhatsApp-Image-2016-10-28-at-10.09.11-PM.jpeg



mbona yupo hivyohivyo jaribu kumtafuta kwenye mitandaoo
 
Back
Top Bottom