Speed of light
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 313
- 284
tuombe mungu mkuu,naona dalili za chaka kabisa,na tumeshatanguliza kichwa,tuombe munguDah ina maana huyu ndiye anatujengea uwanja pale Dodoma au ni mwingine?
Hio ni kweli. Wala sio photo shop.mie niko zanzibar ngoja nitafatilia ni kweli alikuwa hivyo au ni photoshop, hili duka linaitwa memories of zanzibar
Kwani tatizo liko wapi Mkuu?Huyu ndo anasubiriwa kujenga msikiti mkubwa Dar na uwanja wa mpira kule dodoma
NdioBange ndio ina rangi hiyo?
Wapi nimesema kuna tatizo?Kwani tatizo liko wapi Mkuu?
Huyu ndo anasubiriwa kujenga msikiti mkubwa Dar na uwanja wa mpira kule dodoma
Hujasema kuna tatizo, bali post yako inaonyesha kuna tatizo.Wapi nimesema kuna tatizo?
Acha ujinga wako ww sisi mavaz yake yanatuhusu nn angekua mzungu ungesema hayoView attachment 425812
Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?
@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
Hahahhaha...wacha weeHata viongozi wana maisha binafsi ya kiraia na wana haki ya kuwa huru. Sio kila saa Misuti na mitai
Wafalme na marais wengine si wa kawaida... ccm buanaMfalme wa moroko anadhihirisha kuwa yeye ni mtu wa kawaida na anajichanganya na jamii yake. Acheni ushamba
Uelewa wako tuuHujasema kuna tatizo, bali post yako inaonyesha kuna tatizo.
Acha kumfananisha papa na vitu vya kijingaHivi ukiwa Mfalme, au Papa au Rais huna maisha yako ya kawaida? Hahahaha hapa wengi wetu tunaaamini dini ya mtu inawezakubadiri hata DNA yake!
Acheni kutumikia upuuzi, mfalme jana alikuwa club mercury Zanzibar inayomilikiwa na mjumbe wa baraza la wawakilishi jimbo la Tunguu, Mh Simai Mpakabasi akiwa amevaa fulana inayotukuza "bangi". Picha zipo kwenye cameras, mashahidi wapo, na pia CCTV za Mercury Club zina footage kama bado hamjaenda kuzitoa.ALIYE-PHOTOSHOP PICHA YA MFALME WA MOROCCO ALIKUA NA MALENGO GANI?
View attachment 425961
· Kuuchafua Uisalmu.
· Kuichafua nchi ya Morocco ya utawala wake.
· Kumchafua Mfalme wa Morroco binafsi.
· Kuichafua serikali ya Magufuli.
· Kuchafua Zanzibar.
Angalia (zoom) vizuri picha sehemu iliyozungushiwa duara utaona katikati kuna mstari unaomaanisha kuna muunganiko wa picha mbili ndani ya picha moja, angalia zaidi kwenye sikio palipozingishiwa kuna muunganiko wa masiko mawili tofauti. Hiyo ilkua ni kuthibitisha tu mchezo uliofanyika kwa wale ambao si wajuzi wa mambo haya mpaka kupelekea kudanganyika na kuona kwamba picha hiyo ni ya kweli mpaka wengine kufikia kuanzisha nyuzi kutokana na picha hiyo.
Swali la msingi nini ilkua malengo ya mtu huyu?