Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Picha inatafsiri nyingi vyovyote litakavyotafsiriwa hitimisho litabaki moja......
"uongozi na utawala ni vitu viwili tofauti"
 
Picha nzuri sana, mfalme kapiga pamba za USA BABY. [emoji631] [emoji631] [emoji631]
 
Huyu ndo anasubiriwa kujenga msikiti mkubwa Dar na uwanja wa mpira kule dodoma
 
Jamaa yuko vizuri hakuna haja ya kuwa mnafiki kama viongozi wa Kitanzania wanajifanya watakatifu kazi uzinzi na ufisadi jumapili utawaona makanisani. Sasa jamaa yeye anajichanganya na watu anapiga design zake za nguo na anavuta joint yake taratibu bila kumdhuru MTU yeyote watu hapa mnaanza kulalama.
 
ALIYE-PHOTOSHOP PICHA YA MFALME WA MOROCCO ALIKUA NA MALENGO GANI?

View attachment 425961
· Kuuchafua Uisalmu.

· Kuichafua nchi ya Morocco ya utawala wake.

· Kumchafua Mfalme wa Morroco binafsi.

· Kuichafua serikali ya Magufuli.

· Kuchafua Zanzibar.

Angalia (zoom) vizuri picha sehemu iliyozungushiwa duara utaona katikati kuna mstari unaomaanisha kuna muunganiko wa picha mbili ndani ya picha moja, angalia zaidi kwenye sikio palipozingishiwa kuna muunganiko wa masiko mawili tofauti. Hiyo ilkua ni kuthibitisha tu mchezo uliofanyika kwa wale ambao si wajuzi wa mambo haya mpaka kupelekea kudanganyika na kuona kwamba picha hiyo ni ya kweli mpaka wengine kufikia kuanzisha nyuzi kutokana na picha hiyo.

Swali la msingi nini ilkua malengo ya mtu huyu?
Acheni kutumikia upuuzi, mfalme jana alikuwa club mercury Zanzibar inayomilikiwa na mjumbe wa baraza la wawakilishi jimbo la Tunguu, Mh Simai Mpakabasi akiwa amevaa fulana inayotukuza "bangi". Picha zipo kwenye cameras, mashahidi wapo, na pia CCTV za Mercury Club zina footage kama bado hamjaenda kuzitoa.

Alikuwa anakunywa "Ndovu" na kutoa tips za $100 kwa wahudumu.

Picha hii ya Bangi ni aibu kwa serikali yetu hasa ikizingatiwa heshima aliyopewa mgeni huyu na taasisi ya Urais pamoja na ahadi alizotoa kwa watanzania. Tuanze kujifunza sasa.

Vinginevyo kama ni Photoshop na uchochezi, nendeni mahakamani, si mna ile Sheria yenu ya mitandao?
 
Back
Top Bottom