Mtukufu mgeni wake anavaa fulana inayotukuza bangi ikizingatiwa uzito wa ugeni uliowekwa na ikulu na aina ya ahadi zilizotolewa?Wewe MTU ukifa kabla hujabeba uJAUZITO wa maMVI utaishi kwa sononeko sana huko utakakokuwa....hapa anazungumzwa mgeni wa mtukufu ...vipi uwajumuishe wasiohusika
Ahahaha,eti Balozi wa Nini?Je kama ni Balozi wa heshima wa Marijuana je? Inakuhusu nini Mchambuzi? Naungana na Vijana wa CCM hapa na wa vitengo kumtetea.
Waweza Ziweka Hizo Picha Zingine Hapa Jf?
It's genuine. Camera zetu zilimkuta Mercury Pub & Restaurant inayomilikiwa na mjumbe wa baraza la wawakilishi Mh. Simai Mpakabasi (CCM) na pia alipita Memories shop.
Mtu wetu alikuwepo Mercury Zanzibar na akapiga picha. Zipo kwenye camera, pia zipo kwenye camera za mercury kama hawajaamrishwa kuzifuta lakini pia Kuna alaiki iliyomuona na nguo yake inayotukuza bangi, ipo tele.Waweza Ziweka Hizo Picha Zingine Hapa Jf?
kuhusu miguu ni kweli jamaa ana fito,, hata hivyo wafa..lme hua ni vyeo ambavyo hupitishwi kwenye tanuri kuhakikisha hatoki taa..hira kuwa mfa..lme,, hata anaetegemewa kuwa mfalme wa tha.iland inasemekana ni mikato hiyo hiyo make kinachoangaliwa ni uwe ndo unafuatia kwenye kizazi cha mfalme tuu..Ila bado hii picha sio nzuri sana naomba sana iwe photoshopHio picha imetengenezwa tena na Mwanfunzi asiyejua vzuri ndio maana unaona hakuna uhusiano kati ya Miguu na eneo la kiwiliwili mpaka kichwani. Itz Photoshop material. Tujifunze kuheshimu viongoz wa mataifa ya wenzetu.
Asante,waweza ziweka picha halisi za mtukufu mfalme,ukiacha hizo photoshops?
Mgeni wa Rasmi wa Rais muadilifu JPM anavaa nguo yenye kutukuza bangi katika hadhara mnasema ni maisha yake binafsi? Where are our senses? Au tunaukubali utafiti kwamba sisi watanzania, mmoja Kati ya wanne tunaugua akili?
Sio photo shop hizi ni real.Asante,waweza ziweka picha halisi za mtukufu mfalme,ukiacha hizo photoshops?
King MohamedVI of Morocco poses with an excited shop attendant while shopping in Zanzibar.
Kwa hiyo alikuwa anabadili badili nguo?
Private life yake ni yake.View attachment 425812
Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?
@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
Nyie wengine akina RuthuAsante,waweza ziweka picha halisi za mtukufu mfalme,ukiacha hizo photoshops?
Kama kweli basi hatari.Mimi sitaki kuongelea sana kuhusu hiyo Picha. Ila kafanya kufuru sana kwenye hoteli aliyofikia. Wamefumua kila kitu kuanzia AC, TV, mafridge, hadi mlango wameweka wa kwao. Nikajiuliza siku anaondoka hivyo vitu wataviondoa au vitabaki pale kama kumbukumbu?