Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

We need more than just this few words ...
 
Sasa kwani yeye ana tofauti gani na Wenyeji wake Zanzibar na Tanzania?Acha unyanyapaa mkuu .JF pls tulinde heshima ya Jamii hii. Wachochezi kama Mchambuzi sidhani kama wanastahili kuendelea kuwa wanachama hapa.
Angepiga picha na wanawake wa Rombo ulikogombea ubunge ukapata kura sita ungeweka hii comment yako ya matusi tena kwenye photoshopped pic? Pathetic!
 
Sahihisha mkuu hiyo sio ktu ya Meru bali kitu ya Oldonyosambu. We acha tu. Mkuu kaitangaza kikweli kweli hapo. Nadhani mh Msukuma atawasilisha hoja binafsi bunge lijalo kuwa tuifanye zao letu la biashara na sasa tuna soko.
Morocco?
 
Vitu vingine ni kukosa heshima kwa viongozi,

Nini maana ya kutengeneza picha hii?

Dhumuni au lengo ni lipi? Heshima ni jambo la msingi sana katika maisha.
 
Mwenzenu alikuja kutalii Zanzibar nyie mnakimbilia kuomba kujengewa msikiti mambo ndo nyerere alikuwa hapendagi kabisa "ABWAGAYE ZANI, ZANI HUBWAGWA KWAKE"
 
Je kina masaburi walikuwa wahuni?
Maana jp musukuma amesema anaowajua ni 5
 
Ogopa Mungu kijana.
Mfalme wa Nchi anaweza kuvaa kipuuzi namna hii?
Au unadhani kupewa cheo cha UFALME ni kama balozi wa nyumba 10?

Mnaleta picha za kitoto kutukanisha watu na heshma zao?

Moderator please remove this post.
Au hamisha kwenye Jukwaa la vichekesho please.
 
Mh aliona makanzu makubwa akajua mfalme ni muislamu mzuri sana akaomba msikiti kumbe mfalme ni mtu wa matanuzi na totoz sana
Chezea zenj wewe
Utamezwa
 
Wewe ndiye unatia aibu. Chunguza kwanza hizo picha kabla ya kulalama. Picha zimepigwa eneo moja kwa mavazi totauti na kwa siku moja. Je alikuwa akibadilisha nguo humo humo dukani?

Na huyo ni kiongozi wa nchi je anaweza kukatiza mitaa bila ulinzi? Unakumbuka ulinzi wake Dar ulivyokuwa? Hata kama anapenda totoz kwa wadhifa wake anaweza kujianika hivyo kwa utandawazi wa sasa?

Umedanganywa, umedanganyika na photoshop na wewe unalalama. Lazima ni 1 ya 4 wewe.
 
Hoja yetu ni kwamba hii ni aibu kwa taasisi ya urais, nchi. Hakuna vyama wala itikadi hapa. Otherwise Cyber crime ipo, waende mahakamani tukutane huko. Mfalme aliyepokewa kwa mbwembe ni mtukuzaji bangi, ushahidi upo.
 
Hoja yetu ni kwamba hii ni aibu kwa taasisi ya urais, nchi. Hakuna vyama wala itikadi hapa. Otherwise Cyber crime ipo, waende mahakamani tukutane huko. Mfalme aliyepokewa kwa mbwembe ni mtukuzaji bangi, ushahidi upo.
''USHAHIDI TUNAO'' Hii umenikumbusha ya Lowasa kwamba ni fisadi papa na ushahidi mnao. Badala yake ushahidi hamkuutoa na kwa sasa mnasema ni raisi ya mioyo yenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87]
 
Hizo converse nimezielewa, kifupi mfalme anajua kutupia vitu vya kijanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…