Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?


Tumjadili na huyu Pesa anatoa kwenye kipima Joto kufadhiri Chama
 
Why watu wamelichukulia hili too personal? Waarabu wa tanzania wamekuja juu utadhan hyu ni mfalme wao. Mi nachojua ni mfalme wa morocco anaweza kuwa mpuuzi pia kma ambavyo hata donald trump anaweza kuwa mpuuzi. Nachoshangaa waarabu wa sikonge, maneromango,samvula chole,kisarawe na lindi ambao uarabu wao huwa ni kula tende tu wakat wa mfungo ndo wanakasirika sana wanapoona picha kama hizi na kutokwa na povu wakat huyu jamaa hawahusu hata kidogo. Sisi miafrika myeus tunata matatizo sana. So donald trump naye ni ndugu yenu?urais wake huko marekan niny unawahusu nini?




Wakati unashangaa kuhusu mfalme kuvaa hiyo fulana, ona na hii ya Donald Trump, mtu ambaye mnampigia chapuo ashinde Urais huko Marekani
View attachment 425894
 
ingieni u tube tafuteni clip za huyo msela wa morocco ndo mtagundua jamaa ana mikato ya kinyamwezi sana huo ufalme ni cheo tu jamaa ni bonge la mwana na still raia wake wanamkubali kinoma noma......
 
We kafiri mkubwa kabisa unachuki za kikubwa. Maana mfalme kavaa nguo yenye PICHA YA BHANGI TENA NA BENDERA YA MAREKANI....

Hili wewe unalion dogo? Basi inabidi ninyi wengine kwa kweli angalau mpunguze unafiki. ANATANGAZA MATUMIZI YA BHANGI.


Makafiri mna chuki za kitoto sana! !!!!
 
Ila mfalme ni msela au sharobaro sijui tuiteje. Inaonekana kwa picha hizo ni mtu wa kujichanganya sana mtaani, sema tu anacheo kikubwa
 
Acha ushamba nduguu yangu...mfalume gani huyo awe hana walinzi....hapa nikudharau nchi nyingine hata kama hupendi watu wajengewe miskiti kwa ibada na wew mtumishi wa shetani basi acha kashfa...nyau wew
 
<<< Alipokuwa anashuka kukanyaga Ardhi ya BONGO ktk BOING yake ile Nilijua huyu jamaa ni ''JAH man ''' MSELA tu.>>
 
Haa! Nakumbuka kikwete naye alipiga picha na lijamaa limoja lenye jicho moja na tattoo za kutosha tuliambiwa linatoka familia ya mfalme gani ya mfalme
 
magufuli alikosea , angembambikizia kujenga reli ya kati badala ya msikiti, Huyu jamaa yupo poa sana, mhuni was kitaa, atakua amepiga hadi serengeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…