Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mavazi yanashida gani jamani sema ilo la kujenga msikiti nikiashiria cha udini kwahiyo akija king mswati ajenge kanisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu inatakiwa afanye ziara Thailand halafu akutane na yule Prince wa Thailand matattoo wakati yule Prince kawa mfalme.

Wanaweza kuanzisha "Umoja wa Mataifa" wao kaidi.
 
alikuja kwa ziara ya Kikazi kwa siku tatu na alisaini mikataba zaidi ya 16, na alisema atakuwa na Siku 5 za kula Raha hapa Tanzania... sasa si ndo Anakula RAHA, tulitaka Ale RAHA na kanzu...
 
Hahaha,

Jamaa anapenda kula bata kihuni huni kama si mfalme.

Kuna siku alikuwa anakula bata kwenye boat lake baharini kati ya Hispania na Morocco, wanajeshi wa Hispania wakamfuatilia kutaka kumkamata wakifikiri kwamba ni uuza madawa ya kulevya anataka kuyapitisha kuyapeleka Hispania (Ufukwe huo ni maarufu kwa shughuli hizo). Walipomkaribia akawaambia "Mnanijua mimi ni nani? Mnanijua mimi ni nani?"

Alikuwa amevaa mikofia kofia na miwani yake haonekani vizuri. Alivyovua miwani na kofia wakamjua na kumuomba msamaha. Akampigia simu Mfalme wa Uhispania, mfalme wa Uhispania akamtumia salamu rasmi za kumuomba radhi.

Mi nikasema mfalme mzima anatanua bila hata ya mawasiliano na vyombo vya usalama vya nchi jirani kwamba mfalme atakuwa anga hizi leo? Kama wale wanajeshi wa Uhispania wangesema wafanye uhuni na kuwauilia mbali hawa wafanya biashara ya madawa ya kulevya kwa kuwapiga risasi? Si mfalme angeweza kuuawa?

Nimeangalia video zake jamaa anajichanganya na watu Magufuli anasingiziwa, yaani ni binge la security risk.

Lakini wananchi wake wanampenda sanak wa sababu kaleta mabadiliko angalau katika hilo, baba yake King Hassan alikuwa mtu conservative sana, si mtu wa kujichanganya sana na watu.

Kwa hiyo wa Morocco wanampenda sana.

Ona hapa kama Michael Jackson fulani at his prime


Kumbe unamfahamu halafu unajitoa ufahamu?
 
Hio picha imetengenezwa tena na Mwanfunzi asiyejua vzuri ndio maana unaona hakuna uhusiano kati ya Miguu na eneo la kiwiliwili mpaka kichwani. Itz Photoshop material. Tujifunze kuheshimu viongoz wa mataifa ya wenzetu.

Uko sahihi Kiongozi!
 
Mmmh hakuna hata bodigadi.. mfalme aende shoping na kubeba kimkoba hata itifaki haziruhusu.. hata nafasi ya kupiga hiyo picha hutawai kuipata
 
Inawezekana kabisa sina akili lakini wewe ni hauna uelewa hata kidogo. GDP ya Morocco ni about $100billion, GDP ya Tanzania ni about $50billion. Upo hapo? Barani Afrika nchi inayoongoza ni Nigeria. Morocco ni ya tano ikitanguliwa na Nigeria, South Africa, Egypt, na Algeria, upo? Morocco imeipita Angola kwa kiasi kidogo sana, baada ya Angola ni Tanzania tukiwa ni wa saba, upo? Tunajitapa kwamba hatuhitaji misaada, mwisho wa siku tunakimbilia misaada ya nchi inayofanana na Angola kiuchumi.
hahahhaahahaha
 
Hapana, simfahamu.

Namuona kwenye mitandao tu, hata sijakutana naye.

Wewe unamfahamu?
Kuona na kupata maelezo ya ulichokiona ni vitu viwili tofauti. Ufahamu hutokana na kupata maekezo/taarifa ya ulichokiona. Wewe umefamamishwa kuhusu mfalme wa morocco kupitia vyanzo tofauti, hivyo unamfahamu. Nami nimemfahamu japo kidogo baada ya ujio wake nchini. Nikazidi kumfahamu kupitia vyanzo mbalinbali vya habari.
 
ff37b41274f28f1064a43ed4e68010d6.jpg
images
 
Hio picha imetengenezwa tena na Mwanfunzi asiyejua vzuri ndio maana unaona hakuna uhusiano kati ya Miguu na eneo la kiwiliwili mpaka kichwani. Itz Photoshop material. Tujifunze kuheshimu viongoz wa mataifa ya wenzetu.
Ni kweli, ukiichunguza vema utagundua udanganyifu katika tashwira ya picha hiyo.
Mimi si CCM wala mshabiki wa Magufuli, ila nasimama na wote wanaolaani uhuni huu dhidi ya kiongozi huyu. Kila mtu ana maisha ya hadharani na faragha ambayo hakuna mtu anayechekelea kuingiliwa katika maisha yake ya faragha. Iweje leo watu washangilie uharibifu wa faragha ya kiongozi mkubwa hivi?
Ni wakati wa watanzania kujifunza kuwa wamoja katika maslahi ya Taifa na kulaani ujinga kama huu unaoweza kulivunjia Taifa heshima.
Viongozi wengi duniani wanaiona Tanzania kama sehemu nzuri ya mapumziko na kujiliwaza baada ya hekaheka za kiuongozi huko kwao, si Viongozi wa nchi tu hata wa mashirika makubwa pia, kwa miaka ya karibuni tumeshuhudia Viongozi wa Taifa kubwa kama Marekani nchi nyingine na hata wa taasisi mbalimbali akiwemo Bill Gates wakifanya ziara binafsi zinazoleta neema hapa kwetu, kuwaendekeza watu wa hivi ni sawa na kujichoma kwa kisu mwilini. Tuikemee kwa nguvu tabla hii.
 
Hio picha imetengenezwa tena na Mwanfunzi asiyejua vzuri ndio maana unaona hakuna uhusiano kati ya Miguu na eneo la kiwiliwili mpaka kichwani. Itz Photoshop material. Tujifunze kuheshimu viongoz wa mataifa ya wenzetu.
Japo utawala huu siupendi lakini picha hii ina kasoro mie mara ya kwanza nilijua hana mguu mmoja.Tuwe wakweli wandugu
 
Sasa hapo kosa la huyo mfalme liko Wapi? Hiyo ni private life yake. Mtoa mada jipange kisha njoo kivingine.
 
Back
Top Bottom