Mfalme wa Saudi Arabia ashukuru Morocco kwa kuwawakilisha waarabu kwenye kombe la dunia

Mfalme wa Saudi Arabia ashukuru Morocco kwa kuwawakilisha waarabu kwenye kombe la dunia

Iko sawa,
Wana haki ya kuutangaza Uislamu.
Wana haki ya kufurahia timu ya Waarabu kufika nusu fainali ya kombe la dunia toka dunia iumbwe.
Wana haki ya kufurahia kama nchi ya Kiislamu (hata kama hawafuati sharia) kwa mala ya kwanza wanafika nusu fainali.

Slogan yao ya, 'ni ushindi kwa waarabu na waislamu' ni sahihi kabisa.

Ni muda wao muafaka wa kufurahia hiyo rekodi. Leo nawatakia ushindi mnono dhidi ya Ufaransa.

Ni muda wa Waarabu na Waislamu kufurahia mafanikio ya mchezo wa mpira wa miguu.
Kwani miaka yote hiyo walikiwa wapi.
 
Binafsi mwanzoni niliwaunga mkono. Ila baada ya hizi kauli zao! Kwa kweli watanisamehe tu. Bora niende na Ufaransa.
Kwani kuunga mkono mwafrika kutamsaidia kitu gani ? Kwanini hamkuwaunga mkono wa Senegali na Wa Ghana? Waafrika wenzenu mpaka wamefungwa na kutolewa?
 
Ngozi nyeusi wezangu popote mlipo njooni huku muone jinsi gani njia ya mwongo ni fupi, afu tunadai tunaabudu dini ya haki ya mnyaazi mungu, huu ni utapeli uliochangamka kabisa [emoji847][emoji28]
Unataka tuabudu mtu anayekunya na kujamba, na wala hakuwahi kujitangaza kuwa yeye ni mungu?
 
Unataka tuabudu mtu anayekunya na kujamba, na wala hakuwahi kujitangaza kuwa yeye ni mungu?
Umeshajichamba lakini kwa maji masafi?

Kunywa maji ya bariiiidi kwanza Ndugu kisha jipige kifuani mara 3 mfululizo ukisema walaaniwe walioni-brain wash kuwa chuki dhidi ya Watu zaidi ya B 8 duniani ndiyo suluhu ya kuwafanya waabudu unachoamini wewe [emoji38]

Relax, kila Mtu anaweza kutukana isipokuwa tunatumia staha sababu tunaheshimiana [emoji1787]
 
Na hata leo wakibamizwa Na France basi iwe timu zote zimebamizwa na france ...
 
Umeshajichamba lakini kwa maji masafi?

Kunywa maji ya bariiiidi kwanza Ndugu kisha jipige kifua mara 3 mfululizo ukisema walaaniwe walioni-brain wash kuwa chuki dhidi ya Watu zaidi ya B 8 duniani ndiyo suluhu ya kuwafanya waabudu unachoamini wewe [emoji38]

Relax, kila Mtu anaweza kutukana isipokuwa tunatumia staha sababu tunaheshimiana [emoji1787]
Kwani tusi ni lipi hapo , sikushangai kwani kile ulichokiandika uliona raha . Ukweli mtu anayekunya hawezi kuwa mungu
 
Kwani kuunga mkono mwafrika kutamsaidia kitu gani ? Kwanini hamkuwaunga mkono wa Senegali na Wa Ghana? Waafrika wenzenu mpaka wamefungwa na kutolewa?
Una uhakika hatukuwaunga mkono? Au ulitaka pia tuzuie wasifungwe na kutolewa?
 
Kwani tusi ni lipi hapo , sikushangai kwani kile ulichokiandika uliona raha . Ukweli mtu anayekunya hawezi kuwa mungu
"anayekunya na kujamba"

Kama hilo [emoji115] siyo tusi basi kauli yake si rafiki kwa hii media inayotumiwa na Watu wengi sana duniani.

Punguza ukali wa maneno twende sawa na kama hoja haiwezi kujibiwa bila mihemuko, ukimya nao ni jibu la hekima.
 
Wazungu wa Afrika Kusini nao waseme wanafanya kwa ajili ya Wazungu wao Ulaya uone mtakavyobwatuka na kulia lia....sijui kwanini dini ya uislamu imekaa kibaguzi baguzi...
Walikua wanashangilia uholanzi 2010,Wana asili ya uholanzi,wewe endelea kuhangaika na uislam,siyo wa kwanza,walichukia na kupiga Vita wengi tu,Leo hata mifupa yao ardhini haipo
 
Kwani tusi ni lipi hapo , sikushangai kwani kile ulichokiandika uliona raha . Ukweli mtu anayekunya hawezi kuwa mungu
BORA KUABUDU MAVI KULIKO ALLAH

BORA KUWÀ KAFIRI KULIKO KUWA MUISLAMU

NAJIVUNIA MIMI SIYO MUISLAMU SIJAWAHI NA SITAWAHI

YESU NI MUNGU

YESU AKBAR YESUU AKBAAAAARRRRR
 
Cc battawi adriz @covaz Kikwajuni One
 
Wapo sahihi
Nani anapenda kujinasabaisha na watu wa ovyoovyo. Wao wenyewe wanawalaumu mababu zao kwa kuvamia Afrika ya kaskazini.
Tuache kulialia watu weusi tujitathmini why us?
Uovyoovyo wetu ndio unafanya tudharaulike na kubaguliwa..kuitetea ngozi nyeusi ni kama kujaribu kupaka rangi nyeupe matairi ya gari.

Ila leo sidhani kama watashinda mbele ya France. Kila la heri kwa mshindi yoyote.
 
Kwani tusi ni lipi hapo , sikushangai kwani kile ulichokiandika uliona raha . Ukweli mtu anayekunya hawezi kuwa mungu
BORA KUABUDU MAVI KULIKO ALLAH

BORA KUWÀ KAFIRI KULIKO KUWA MUISLAMU

NAJIVUNIA MIMI SIYO MUISLAMU SIJAWAHI NA SITAWAHI

YESU NI MUNGU

YESU AKBAR YESUU AKBAAAAARRRRR
 
Walikua wanashangilia uholanzi 2010,Wana asili ya uholanzi,wewe endelea kuhangaika na uislam,siyo wa kwanza,walichukia na kupiga Vita wengi tu,Leo hata mifupa yao ardhini haipo

Hajawahi kuibuka hata mzungu mmoja akasema kombe la dunia analisaka kwa ajili ya mataifa ya wazungu na Ukristo, mumerogwa kwenye hiyo dini yenu mpaka mnashobokea kila uharo wa mwarabu....kwanza huyo mwarabu huwaona kama mbwa mnaoshobokea dini yake, hebu ona hili tamko lao...

screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761
 
Back
Top Bottom