Mfalme Zumaridi aachiliwa huru, amwaga uno mbele ya waumini

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11.

Credit: East Africa Radio


Your browser is not able to display this video.
 
Amerudia urembo wake, make up zitatuua
 
Wenzake amewakuta aje aungane nao kupiga hela kwa mwamvuli wa dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…