Mfalme Zumaridi aachiliwa huru, amwaga uno mbele ya waumini

Mfalme Zumaridi aachiliwa huru, amwaga uno mbele ya waumini

Leo atakuwa na nyege huyu, ningekuwa na namba yake ningejaribu bahati
 
Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11.

Credit: East Africa Radio

View attachment 2521594
View attachment 2521604
Hahaha kuna watu ukali wa nyota zao sijui wamebust na kitu gani huko[emoji23]
 
IMG_1223.jpg
 
Alienda na make up zake huko gerezani? kweli ukistaajabu ya Musa.....
 
Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11.

Credit: East Africa Radio

View attachment 2521594
View attachment 2521604
Mi nikajua waumini walimwombea mpaka Kuta za gereza zikafunguka
 
Back
Top Bottom