Mfalme Zumaridi aachiliwa huru, amwaga uno mbele ya waumini

Mfalme Zumaridi aachiliwa huru, amwaga uno mbele ya waumini

Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11.

Credit: East Africa Radio

View attachment 2521594
View attachment 2521604

Ila namheshimu huyu mama! Kuwashika watu wote hawa siku zote hata alipokua gerezan si lelemama! I salute her!
 
Back
Top Bottom